CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka baada ya kuapishwa ndiyo ukajua kumbe umeingizwa chaka, na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, kwa haraka ni kwamba kuna mambo umetofautiana na akina Mdee.
Kwa umri wako ili kutengeneza tena heshima yako na imani kwa watu wengi basi jiuzulu huo Ubunge. Amua kuachana na huo Ubunge na omba radhi kwa chama chako, utapoteza marafiki kadhaa kwa muda na lile 'vaibu' la kibungebunge lakini heshima utakayopata Itakuwa ya kudumu na inshallah unaweza kupata tena Ubunge kwa chama chako kwa njia halali kabisa mwaka 2025.
Nataka kukwambia utanishukuru baadaye sana.
Achana na akina Mdee.