Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

Hata asipo mshukuru, looks like bado ana mapenzi na Chama chake mnoo... Halima ali walaghai wenzake
Nusrat ana poteza nyota yake akiwa bado mtoto. Asipo kuwa smart umaarufu unaisha tukutane kwenye biashara ya vitumbua.
 
Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka baada ya kuapishwa ndiyo ukajua kumbe umeingizwa chaka, na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, kwa haraka ni kwamba kuna mambo umetofautiana na akina Mdee.

Kwa umri wako ili kutengeneza tena heshima yako na imani kwa watu wengi basi jiuzulu huo Ubunge. Amua kuachana na huo Ubunge na omba radhi kwa chama chako, utapoteza marafiki kadhaa kwa muda na lile 'vaibu' la kibungebunge lakini heshima utakayopata Itakuwa ya kudumu na inshallah unaweza kupata tena Ubunge kwa chama chako kwa njia halali kabisa mwaka 2025.

Nataka kukwambia utanishukuru baadaye sana.

Achana na akina Mdee.
Mwalimu Hanje: bila shaka wewe ni mdogo kiumri lakini umesoma. Vita ya Pili ya Dunia iliongozwa na Hitler wa Ujerumani ikiungana na Italy na Japan ikaitawala Ulaya yote kasoro UK. Mayahudi milioni 6 Warussi milioni 3 na wengine wengine jumla watu miĺioni 17 waliteketea. UK kwa muungano na US na USSR (Urusi) ukamng'oa Hitler 1945 akajiua Berlin kabla hajatekwa na kikodi cha Corporal Andrei Vasiliev wa Jeshi la Sovieti. Majenerali wa Hitler chini ya Gen. Kurt Keitel wakakamatwa wakashitakiwa Nuremberg 1947 kwa mauaji. UTETEZI WAO MKUBWA ULIKUWA NI KUWA WAO KAMA ASKARI ILIBIDI WATII AMRI YA COMMANDER IN CHIEF HITLER. Utetezi ulikataliwa, wakanyongwa 1947. Wengine walijifichwa wanatafutwa hadi leo. Kwa nini nimekwambia haya Mwalimu mwenzangu? Ni kuwa kosa lenu CHADEMA mlikataa kutii amri ya mbowe/HITLER na tundulissu/KEITEL - amri kutolitambua Bunge na Rais waliotangazwa kikatiba na Tume ya Uchaguzi. Kama mngewatii, mngekakataa kuapa au kwenda bungeni kwa kutii amri ya kihaini nanyi mngekuwa mnatenda kosa la uhaini. MLICHOFANYA DADA NI SAWA NA NI HALALI NA UTETEZI WENU NI KESI YA NUREMBERG 1947. USIWE NA WASIWASI DUNIA ITAKULINDA
 
Moja kati ya wakidada walioniuma ni ni Nusrat na Esta matiko.Hawa kina dada walikua smart sana kwenye kuja kulikomboa hili taifa ila bahati mbaya hawakusoma alama za nyakati vizuri.Walifikiria hapa karibu bila kujua mapambano yanahitaji uvumilivu na atakayevumilia ata mwisho ndiye atakayeokoka.Umempa ushauri mzuri bila shaka ataufikiria.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
huyo pascal mayalla ni kanjanja tu anajifanya mjuaji wa mambo kwa kuleta maandiko uchwara ya notes za sheria darasan za administrative law akizani kwenye practice ni hivyo na nilimshaur jana aende akawasaidie hao wanawake wajinga mahakaman na huo uwakili wake ila hajafanya hivyo, had sasa amebaki kukoment jf tu kuhusiana na kesi hio.
Kwani paskali ashawahi simama mahakamani

Oba
 
Tangu Nusrat aanze kuonekana akilewa pombe ovyo, kupapaswa hadharani, kukotwa ili kwenda kupigwa miti na kusagwa, basi ndio ilikuwa hitimisho la uwezo wake wa kisiasa. Hana jipya tena, hana heshima popote, ni binti wa kumuacha hivyo hivyo alivyo. CCM imeharibu vinana wengi sana.
 
Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka baada ya kuapishwa ndiyo ukajua kumbe umeingizwa chaka, na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, kwa haraka ni kwamba kuna mambo umetofautiana na akina Mdee.

Kwa umri wako ili kutengeneza tena heshima yako na imani kwa watu wengi basi jiuzulu huo Ubunge. Amua kuachana na huo Ubunge na omba radhi kwa chama chako, utapoteza marafiki kadhaa kwa muda na lile 'vaibu' la kibungebunge lakini heshima utakayopata Itakuwa ya kudumu na inshallah unaweza kupata tena Ubunge kwa chama chako kwa njia halali kabisa mwaka 2025.

Nataka kukwambia utanishukuru baadaye sana.

Achana na akina Mdee.
Nusrat Hanje, Umepewa ushauri mzuri.
Una umri mdogo sana, ili ikifika 2025 ubakie kwenye chama chaka salama.
Ukumbuke ccm hawatakutaka na umri ulio nao utaelekea wapi?
Fuata ushauri huu
 
Nusurat Hanje wewe kila mtu atakuelewa na kukutetea hata Mimi Niko tayari kukutetea.Achana na Akina Mdee.Unanisikia lakini? Narudia Achana na akina Mdee.
 
Sijui viongozi wa kisiasa huwa wanawalishaga nini wanachama na wapenzi wao......yaani wanaweka kwenye faraja kubwa la utakatifu.......
 
huyo pascal mayalla ni kanjanja tu anajifanya mjuaji wa mambo kwa kuleta maandiko uchwara ya notes za sheria darasan za administrative law akizani kwenye practice ni hivyo na nilimshaur jana aende akawasaidie hao wanawake wajinga mahakaman na huo uwakili wake ila hajafanya hivyo, had sasa amebaki kukoment jf tu kuhusiana na kesi hio.

Paskali ni taswira halisi ya wasomi wetu wengi, utakuta mtu ana mavyeti ya hatari lakini hana uwezo wowote wa hiyo kazi. Ukitaka ucheke ufe itokee siku Paskali aende kwenye kesi mahakamani. Utakuta hujui chochote zaidi ya vijisheria vya kuokoteza kwenye majukwaa ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom