Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Aijuzulu ubunge kwa nini wakati Mbowe na Mnyika walimfuata Jela wakamhakikishia kuwa kila kitu safi?
Kuna register ya wageni kule Gerezani. Magereza watamkana. Siyo rahisi kujibu hivyo mzee.