Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

UYu dada Kwenye hoja namkubali sana yuko njema mno.
CDM wamalizane tuu na hawa vijana maana wataishia kuvuana nguo

Yeye mwenyewe kakiri kuwa vyama vinaua ndoto za kisiasa za vijana wengi.
 
Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka Baada ya kuapishwa ndio ukajua kumbe Umeingizwa Chaka,
Na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, Kwa haraka ni kwamba Kuna mambo umetofautiana na akina Mdee.

Kwa umri wako Ili kutengeneza Tena Heshima Yako na Imani Kwa watu wengi basi JIUZULU HUO UBUNGE,
Amua kuachana na Huo UBUNGE na omba radhi Kwa Chama chako utapoteza marafiki kadhaa Kwa muda na lile 'vaibu' la kibunge Bunge lakini Heshima utakayopata Itakuwa ya kudumu na inshallah unaweza kupata Tena UBUNGE Kwa Chama chako Kwa njia halali kabisa Mwaka 2025
Nataka kukuambia utanishukuru baadae sana.

Achana na akina Mdee
Kweli kila mchuma janga hula na wa kwake. Hili zigo alilowaachia Mwendazake linawatesa sana CCM. Jinsi ya kulimaliza inakuwa ngumu sana
 
Huyu asingejirahisisha , 2025 alikuwa anabeba ubunge Singida mjini asubuhi na mapema. Hii ni sawa na Hawa Mwaifunga Tabora Mjini alikuwa ameikamata vilivyo, na 2025 alikuwa hana mpinzani.

..walikuwa wamekata tamaa wakidhani Magufuli atadumu muda mrefu madarakani.

..kwa hiyo mahesabu na mipango yao ya muda mfupi na mrefu ilijumuisha matarajio kwamba Magufuli angekuwa Raisi kwa muda mrefu ujao.

..KIFO cha Magufuli kimetibua mipango ya watu wengi sana ikiwemo hawa kina mama.
 
Huyu asingejirahisisha , 2025 alikuwa anabeba ubunge Singida mjini asubuhi na mapema. Hii ni sawa na Hawa Mwaifunga Tabora Mjini alikuwa ameikamata vilivyo, na 2025 alikuwa hana mpinzani.
Ndege mmoja mkononi ni bora kuliko kenda walioko porini. Tena ubunge ni ule ule, akiupata sasa au hata akiupata 2025 haina tofauti
 
Mkuu wa magereza na watu wa zamu wataitwa kuthibitisha Hilo kila kitu kitakua sawa wapi walisaini akina mbowe na mnyika

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Yale yale ya kina Kingai!! Walipoambiwa kutoa vitabu vya records wakawa wana jichanganya tu!! Hilo alilosema ni rahisi tu kuridhibitisha, kupitia records za gereza husika!!Ila kweli jamani kwa siasa zile za kambale hao wakina mnyika wangethubutu vipi kulifanya hilo?
 
Kama ana masikio akusikie atakuja kukushukuru ni kweli
Karma is around bro...
JF kuna washauri wazuri sana....mhusika popote alipo afanyie kazi ushauri aliopewa...muda wowote kamba inaweza katwa au kukatika.
 
Chadema matapeli sana mnatudanganya eti wamepata ubunge kinyume na chama kumbe mliwachagua wenyewe afadhali nishabikie Arsenal kuliko drama za siasa
Chadema walifanya uchaguzi Mdogo wa wabunge lin?
 
Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka Baada ya kuapishwa ndio ukajua kumbe Umeingizwa Chaka,
Na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, Kwa haraka ni kwamba Kuna mambo umetofautiana na akina Mdee.

Kwa umri wako Ili kutengeneza Tena Heshima Yako na Imani Kwa watu wengi basi JIUZULU HUO UBUNGE,
Amua kuachana na Huo UBUNGE na omba radhi Kwa Chama chako utapoteza marafiki kadhaa Kwa muda na lile 'vaibu' la kibunge Bunge lakini Heshima utakayopata Itakuwa ya kudumu na inshallah unaweza kupata Tena UBUNGE Kwa Chama chako Kwa njia halali kabisa Mwaka 2025
Nataka kukuambia utanishukuru baadae sana.

Achana na akina Mdee
Kwa umri wako Ili kutengeneza Tena Heshima Yako na Imani Kwa watu wengi basi JIUZULU HUO UBUNGE,
 
Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka Baada ya kuapishwa ndio ukajua kumbe Umeingizwa Chaka,
Na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, Kwa haraka ni kwamba Kuna mambo umetofautiana na akina Mdee.

Kwa umri wako Ili kutengeneza Tena Heshima Yako na Imani Kwa watu wengi basi JIUZULU HUO UBUNGE,
Amua kuachana na Huo UBUNGE na omba radhi Kwa Chama chako utapoteza marafiki kadhaa Kwa muda na lile 'vaibu' la kibunge Bunge lakini Heshima utakayopata Itakuwa ya kudumu na inshallah unaweza kupata Tena UBUNGE Kwa Chama chako Kwa njia halali kabisa Mwaka 2025
Nataka kukuambia utanishukuru baadae sana.

Achana na akina Mdee
Umeongea point sana mkuu
 
Back
Top Bottom