Kwa umri wako Ili kutengeneza Tena Heshima Yako na Imani Kwa watu wengi basi JIUZULU HUO UBUNGE,Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka Baada ya kuapishwa ndio ukajua kumbe Umeingizwa Chaka,
Na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, Kwa haraka ni kwamba Kuna mambo umetofautiana na akina Mdee.
Kwa umri wako Ili kutengeneza Tena Heshima Yako na Imani Kwa watu wengi basi JIUZULU HUO UBUNGE,
Amua kuachana na Huo UBUNGE na omba radhi Kwa Chama chako
Nataka kukuambia utanishukuru baadae sana.
Achana na akina Mdee
Kama ana masikio akusikie atakuja kukushukuru ni kweliTufanye ni kweli hukujua chochote mpaka Baada ya kuapishwa ndio ukajua kumbe Umeingizwa Chaka,
Na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, Kwa haraka ni kwamba Kuna mambo umetofautiana na akina Mdee.
Kwa umri wako Ili kutengeneza Tena Heshima Yako na Imani Kwa watu wengi basi JIUZULU HUO UBUNGE,
Amua kuachana na Huo UBUNGE na omba radhi Kwa Chama chako
Nataka kukuambia utanishukuru baadae sana.
Achana na akina Mdee
Hata asipo mshukuru, looks like bado ana mapenzi na Chama chake mnoo... Halima ali walaghai wenzakeKama ana masikio akusikie atakuja kukushukuru ni kweli
Mleta mada kanusa harufu ya kutofautiana kati yaoKama ana masikio akusikie atakuja kukushukuru ni kweli
inshallah unaweza kupata Tena UBUNGE Kwa Chama chako Kwa njia halali kabisa Mwaka 2025
Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka Baada ya kuapishwa ndio ukajua kumbe Umeingizwa Chaka,
Na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, Kwa haraka ni kwamba Kuna mambo umetofautiana na akina Mdee.
Kwa umri wako Ili kutengeneza Tena Heshima Yako na Imani Kwa watu wengi basi JIUZULU HUO UBUNGE,
Amua kuachana na Huo UBUNGE na omba radhi Kwa Chama chako utapoteza marafiki kadhaa Kwa muda na lile 'vaibu' la kibunge Bunge lakini Heshima utakayopata Itakuwa ya kudumu na inshallah unaweza kupata Tena UBUNGE Kwa Chama chako Kwa njia halali kabisa Mwaka 2025
Nataka kukuambia utanishukuru baadae sana.
Achana na akina Mdee
Uwe unaelewa madaAijuzulu ubunge kwa nini wakati Mbowe na Mnyika walimfuata Jela wakamhakikishia kuwa kila kitu safi?
Huyu asingejirahisisha , 2025 alikuwa anabeba ubunge Singida mjini asubuhi na mapema. Hii ni sawa na Hawa Mwaifunga Tabora Mjini alikuwa ameikamata vilivyo, na 2025 alikuwa hana mpinzani.
Hivi nyie mnajuaje 2025 kutakuwa na uchaguzi?Huyu asingejirahisisha , 2025 alikuwa anabeba ubunge Singida mjini asubuhi na mapema. Hii ni sawa na Hawa Mwaifunga Tabora Mjini alikuwa ameikamata vilivyo, na 2025 alikuwa hana mpinzani.
Huyo Nusrat mimi nimesoma nae ni mbishi kinoma, aisee ni hatari sijui kama atakuelewa mkuu
mnadhani ubunge ni chupi.
Ati singida angeichukua[emoji23][emoji23] acheni unyumbu wabongo washajua utapeli wa nyumbu.
Hivi nyie mnajuaje 2025 kutakuwa na uchaguzi?
Aomba radhi kwanani je akija Tena Kama Magufuli itakuaje , aendelee kupambana hapohapo shida ya ushahidi wakusetiwa ukigeuzwa kidogo tu umekwishaTufanye ni kweli hukujua chochote mpaka Baada ya kuapishwa ndio ukajua kumbe Umeingizwa Chaka,
Na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, Kwa haraka ni kwamba Kuna mambo umetofautiana na akina Mdee.
Kwa umri wako Ili kutengeneza Tena Heshima Yako na Imani Kwa watu wengi basi JIUZULU HUO UBUNGE,
Amua kuachana na Huo UBUNGE na omba radhi Kwa Chama chako utapoteza marafiki kadhaa Kwa muda na lile 'vaibu' la kibunge Bunge lakini Heshima utakayopata Itakuwa ya kudumu na inshallah unaweza kupata Tena UBUNGE Kwa Chama chako Kwa njia halali kabisa Mwaka 2025
Nataka kukuambia utanishukuru baadae sana.
Achana na akina Mdee
Mkuu wa magereza na watu wa zamu wataitwa kuthibitisha Hilo kila kitu kitakua sawa wapi walisaini akina mbowe na mnyikaAna ubishi wa kijinga, kwa hapa ameshikwa pabaya huo ubishi wa kinoma utamtokea puani. Paskali Mayalla ndio alikuwa anawajaza kichwa eti viongozi wa juu wa CDM wanahusika, na wakienda mahakamani hao viongozi wataumbuka.
Na kweli hao wanawake wakavimba vichwa, sasa ndio hao wanasema mwenyekiti na katibu Mkuu ndio waliomtoa magereza. Unajiuliza ni wapi wapinzani wanaweza kupata nguvu ya kumtoa mtuhumiwa gerezani usiku?