Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

Na hapo ndipo tujue kwamba hutakiwi kumtegemea mwanadamu kwenye dunia ya Mungu.
 
sarakasi zinaendelea, ni watanzania wachache sana wenye ujasiri wa kuacha fupa kama la ubunge na kujiuzulu. Wengi njaa zinawasumbua na wameweka matumbo mbele na ubinafsi.
 
Mimi kanimaliza kusema tu alipokea form kati ya mwezi wa saba na 11, hivi kweli huwezi kukumbuka mwezi ukasema mwezi wa 8 unaweza kusahau kidogo tarehe tukakusamehe hivi wanatuona wajinga hawa? nia yake asiweze kubanwa maana akitaja mwezi na tarehe wanaweza kuja na uthibitisho tarehe hizo Mnyika alikuwa sehemu nyingine. eti kati ya mwezi wa 7 na 11 hii hatari sana lakini mimi nailaumu serikali kuvunja sheria kwa makusudi kabisa hii inaondoa uaminifu mdogo uliobaki na serikali yate na mahakama. Hakuna kitu kizuri katika nchi ukijuwa haki zinatolewa na nchi inaendeshwa kisheria.
 
Huyu asingejirahisisha , 2025 alikuwa anabeba ubunge Singida mjini asubuhi na mapema. Hii ni sawa na Hawa Mwaifunga Tabora Mjini alikuwa ameikamata vilivyo, na 2025 alikuwa hana mpinzani.
Acheni kujifanya hamuijui Tanzania!
 
Amefanyaje!! Em weka ka klipu
 
Aijuzulu ubunge kwa nini wakati Mbowe na Mnyika walimfuata Jela wakamhakikishia kuwa kila kitu safi?
yani kina mbowe wamfate gerezan kumhakikishia mambo yako safi wawaache kina catherine Ruge na kina Devota Minja au kina Upendo peneza waliokua nje this is a joke na kwa taarifa yako kama hujui hao wapuuz wanachofanya ni kubuy time tu lakin hadi decemba kila kitu kitakuwa wazi maana hukumu itakua imetoka.
 
Nusrat HUO ndio ukweli halisi hujajua kuwa Umechomekewa!!
 
huyo pascal mayalla ni kanjanja tu anajifanya mjuaji wa mambo kwa kuleta maandiko uchwara ya notes za sheria darasan za administrative law akizani kwenye practice ni hivyo na nilimshaur jana aende akawasaidie hao wanawake wajinga mahakaman na huo uwakili wake ila hajafanya hivyo, had sasa amebaki kukoment jf tu kuhusiana na kesi hio.
 
Chadema matapeli sana mnatudanganya eti wamepata ubunge kinyume na chama kumbe mliwachagua wenyewe afadhali nishabikie Arsenal kuliko drama za siasa
matapel ni nyinyi wajinga wa ccm na viongoz wenu wanaopeperusha bendera ya matokeo ya sensa kwenye ndege halafu mazezeta yake mnashangilia hivi kweli mmeshaacha kushangilia ile picha ya mamayenu kule dubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…