Mdogo wangu wa kike ameanza kushiriki kwneye mambo ya Umiss

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
2,104
Reaction score
3,594
Kama mnavyojua shulen sio kusoma tu bali na michezo na fani zinginezo. Katika hobby zote, mdg wangu wa kike amechagua umiss na anaupenda sana. Likizo nilimkataza sana asiwe anafanya hayo mambo ya umiss, lakini hajanisikiliza hata kidogo na nashindwa cha kumfanya.

Walimu wake wanadai ni kipaji chake na ni kitu anakipenda sana😭

Nimewaza kumuhamisha shule lakin naona ni yaleyale maan akihamia nyingine ataendelea tu. Sijui cha kumfanya wala cha kufanya.

Na je ni ruhusa kwa shule kua na mambo kama hayo ya umiss?
 
Walim wake wanadai ni kipaji chake na ni kitu anakipenda sana😭
Nimewaza kumuhamisha shule lakin naona ni yaleyale maan akihamia nyingine ataendelea tu. Sijui cha kumfanya wala cha kufanya.
Na je ni ruhusa kwa shule kua na mambo kama hayo ya umiss?
Ana umri gani? Ex wangu alikuwa anajihusisha na umiss nikaachana nae. Akautumia umiss wake kufanya awareness kwenye jamii na kufanya kazi na mashirika na taasisi kubwa. Matokeo yake anafanya kazi nje mimi boya nimebaki hapa.

Kwa sasa nikiona dogo yuko chuo na anaelekea kuwa miss namsisitiza afuate ndoto zake. Hayo mambo unayowaza ya kulala na wanaume ni yeye akitaka, wapo wauza uduvi wanalala na wapiga debe.

Huwa wanaanza shuleni wakiwa ushers wa wageni kwenye sherehe. Ni njia rahisi sana ya kufikika kwa organizations zinazotaka girl champions, scholarships anapata kirahisi, kazi kama Marketing anapata kiwepesi. Provided ana akili kichwani asiwe zwazwa hapo ndio ule umiss wako unaouwaza.
 
Kama mnavyojua shulen sio kusoma tu bali na michezo na fani zinginezo. Katika hobby zote, mdg wangu wa kike amechagua umiss na anaupenda sana. Likizo nilimkataza sana asiwe anafanya hayo mambo ya umiss, lakini hajanisikiliza hata kidogo na nashindwa cha kumfanya.

Walimu wake wanadai ni kipaji chake na ni kitu anakipenda sana😭

Nimewaza kumuhamisha shule lakin naona ni yaleyale maan akihamia nyingine ataendelea tu. Sijui cha kumfanya wala cha kufanya.

Na je ni ruhusa kwa shule kua na mambo kama hayo ya umiss?
Nayajua maumivu yake, lakini yakupasa ubadili tu mindset mkuu.

Hata Hawa mamisi tunaowaona, kuwafurahi, na kuwashabikia hawakuungwa mkono majumbani kwao ila ndiyo hivyo.

Ukiendelea kumsumbua atakuja kukuambia, "maisha ni yangu, we shughulika na yako, mi sipangingwi...".

CC King Kong III.
 
Tutamlea Vyema Katika Hiyo Talanta Yake,,Shaka Ondoa...Tunahitaji Wakina Jihan Wakutosha Kwa Uwakilishi Wa Taifa Katika Sekta Ya Ulimbwende,,Muombee Mpe Sapoti​
 
Ukiamua wewe na familia yako mumsimamie na kumpa mahitaji yake. Atafanya huo umiss na kumaliza salama unless awe mjinga..

Ila mkipambana nae, mkamsusa hapo ndipo ataenda kutumika vizuri ili apate mahitaji kama nguo, viatu, make ups etc

Kwa hiyo uchaguzi ni wenu lakini pia binti asiejielewa huwezi kumlinda. Hata chuoni anaweza kuwa wa kutoka hostel na rooms za men, door to door service na pia akauzwa na madalali mjini ..

Kuweni close nae, mpeni chance afanye ili akiwa anakutana na chochote. Awe open kuwaambia na yakiwa magumu. Ataacha mwenyewe
 
Nayajua maumivu yake, lakini yakupasa ubadili tu mindset mkuu.

Hata Hawa mamisi tunaowaona, kuwafurahi, na kuwashabikia hawakuungwa mkono majumbani kwao ila ndiyo hivyo.

Ukiendelea kumsumbua atakuja kukuambia, "maisha ni yangu, we shughulika na yako, mi sipangingwi...".

CC King Kong III.
Tuwaache watoto wafanye vitu wanavyovipenda ,tujifunze kwa Bi Sandra alivyoruhusu DAYAMONDI kufanya muziki ,leo DimonDi ni Ze Bilionea.
 
Kama mnavyojua shulen sio kusoma tu bali na michezo na fani zinginezo. Katika hobby zote, mdg wangu wa kike amechagua umiss na anaupenda sana. Likizo nilimkataza sana asiwe anafanya hayo mambo ya umiss, lakini hajanisikiliza hata kidogo na nashindwa cha kumfanya.

Walimu wake wanadai ni kipaji chake na ni kitu anakipenda sana😭

Nimewaza kumuhamisha shule lakin naona ni yaleyale maan akihamia nyingine ataendelea tu. Sijui cha kumfanya wala cha kufanya.

Na je ni ruhusa kwa shule kua na mambo kama hayo ya umiss?
Wekezeni, siku akishinda mama atampongeza mama yule wa juzi.
 
Back
Top Bottom