didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
- Thread starter
- #21
JIHESHIMU mpuuz weweMkuu ngoja hichi kibunda nikihifadhi UTT akitoka shule nipo nae huyo.
JIHESHIMU mpuuz weweMkuu ngoja hichi kibunda nikihifadhi UTT akitoka shule nipo nae huyo.
Ndo kwanza yupo form 2..me naumia kiukwel naona kama atamegwa na kumuona na vile vinguo eti anatembea kuwafurahisha watuAna umri gani? Ex wangu alikuwa anajihusisha na umiss nikaachana nae. Akautumia umiss wake kufanya awareness kwenye jamii na kufanya kazi na mashirika na taasisi kubwa. Matokeo yake anafanya kazi nje mimi boya nimebaki hapa.
Kwa sasa nikiona dogo yuko chuo na anaelekea kuwa miss namsisitiza afuate ndoto zake. Hayo mambo unayowaza ya kulala na wanaume ni yeye akitaka, wapo wauza uduvi wanalala na wapiga debe.
Huwa wanaanza shuleni wakiwa ushers wa wageni kwenye sherehe. Ni njia rahisi sana ya kufikika kwa organizations zinazotaka girl champions, scholarships anapata kirahisi, kazi kama Marketing anapata kiwepesi. Provided ana akili kichwani asiwe zwazwa hapo ndio ule umiss wako unaouwaza.
Kama Form 2 hapo bado hajakua kiakili. Angalau angeanzia Form 5 au Certificate uko, au hamna hamna Form 4.Ndo kwanza yupo form 2..me naumia kiukwel naona kama atamegwa na kumuona na vile vinguo eti anatembea kuwafurahisha watu
Punguza hasira kijana.JIHESHIMU mpuuz wewe
huku mitaani wapo ambao sio mamiss lakini wameshaharibika.Atachezea uboo huyo mpaka anashinda wamesha legeza kila kitu.
Hata kapicha ka mdogo ake.. Ana roho mbaya sana huyu sio wa kumzingatiaHata heading naona imekaa kimiss
Umiss sio kazi mkuu ni usenge tu.huku mitaani wapo ambao sio mamiss lakini wameshaharibika.
Kikubwa ajue mipaka ya kazi yake.
Ushachelewa,Kama mnavyojua shulen sio kusoma tu bali na michezo na fani zinginezo. Katika hobby zote, mdg wangu wa kike amechagua umiss na anaupenda sana. Likizo nilimkataza sana asiwe anafanya hayo mambo ya umiss, lakini hajanisikiliza hata kidogo na nashindwa cha kumfanya.
Walimu wake wanadai ni kipaji chake na ni kitu anakipenda sana😭
Nimewaza kumuhamisha shule lakin naona ni yaleyale maan akihamia nyingine ataendelea tu. Sijui cha kumfanya wala cha kufanya.
Na je ni ruhusa kwa shule kua na mambo kama hayo ya umiss?
😂😂😂Atachezea uboo huyo mpaka anashinda wamesha legeza kila kitu.
Ila wa kiume? Ubaya wake uko wapi?Kama wa kike sio mbaya sana.
Umiss Kwa mtoto wa kiume ni ushoga.Ila wa kiume? Ubaya wake uko wapi?
Ushoga ni nini?Umiss Kwa mtoto wa kiume ni ushoga.
Namfahamu mdada mmoja tulikuwa naye mtaani aloo yule mzee Hashim Lundenga sijui alikuwa anamgonga wazi wazi na alivyo mshenzi anamgongea lodge za mtaani hapo hapo.