Mdogo wangu wa kike ameanza kushiriki kwneye mambo ya Umiss

Mdogo wangu wa kike ameanza kushiriki kwneye mambo ya Umiss

Mwanam kazaliwa Kwa ajili ya kufanya hilo tendo.uamuzi ni wake akiamua kuwa kahaba au malaya
Hata mwanaume miss ni maamuzi yake kuwa shoga, wala sio yako wewe, km ilivyokua kwa mwanamke kuwa Malaya au kahaba na mdangaji.
 
Kama mnavyojua shulen sio kusoma tu bali na michezo na fani zinginezo. Katika hobby zote, mdg wangu wa kike amechagua umiss na anaupenda sana. Likizo nilimkataza sana asiwe anafanya hayo mambo ya umiss, lakini hajanisikiliza hata kidogo na nashindwa cha kumfanya.

Walimu wake wanadai ni kipaji chake na ni kitu anakipenda sana😭

Nimewaza kumuhamisha shule lakin naona ni yaleyale maan akihamia nyingine ataendelea tu. Sijui cha kumfanya wala cha kufanya.

Na je ni ruhusa kwa shule kua na mambo kama hayo ya umiss?
Kwanza elewa hakuna kipaji cha Umiss hiyo ni hobby tu, bali kuna sifa za Umiss.

Kama unaona ana sifa za umiss yani mtoto mashaalah kaumbika kikubwa azingatie masomo tu hayo mambo mengine huo uzuri wake utampa advantage akishagraduate kuwa na maisha bora na kazi nzuri.

Kikubwa maisha hayahitaji shortcut muelimishe maisha ya Instagram siyo maisha halisi maigizo ni mengi, hapa mjini sasa kuna mpaka pesa za kukodi kupiga nazo picha na magari ya kukodisha per day.
Alinde bikra yake.
 
Kama mnavyojua shulen sio kusoma tu bali na michezo na fani zinginezo. Katika hobby zote, mdg wangu wa kike amechagua umiss na anaupenda sana. Likizo nilimkataza sana asiwe anafanya hayo mambo ya umiss, lakini hajanisikiliza hata kidogo na nashindwa cha kumfanya.

Walimu wake wanadai ni kipaji chake na ni kitu anakipenda sana😭

Nimewaza kumuhamisha shule lakin naona ni yaleyale maan akihamia nyingine ataendelea tu. Sijui cha kumfanya wala cha kufanya.

Na je ni ruhusa kwa shule kua na mambo kama hayo ya umiss?
Jitahidi pambana zungumza nae kwa upole usitumie mabavu atakuelewa tu
 
Dunia ya sasa sio ya zamani, Muangalie kama anafaa msaport, mamiss wengi waliofika mbali wana support kuanzia ya familia.
 
Pole mkuu, ongea nae kirafiki au mtume mtu aongee nae
 
Back
Top Bottom