Lyetu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 1,404
- 3,748
Huu sio ulimwengu uliokuzwa wewe mkuu, sio ule ulimwengu wako utafanya na kufata anachotaka mzazi au mlezi.
Mtoto kama anapenda na unaona anazosifa mpe support, ukimnyima support basi umefungua milango ya yeye kwenda kutumika.
Kumnyima support kutamfanya akuchukie na ni hatari sana mtoto wa umri wake kukuchukia, kwasababu hatokushirikisha anayopitia. Imagine nyakati hizi unaishi na mtoto ambae hawezi kukushirikisha anayopitia. Utakuja kushtuka keshafanyiwa mambo ya hovyo na kakaa kimya.
Mcheki yule dogo Abigail, isingekuwa kupewa support home saivi angekuwa chawote.
Unapaswa kuingia ulingoni ujue zaidi mipito ya hicho anachokipenda, itakusaidia kumpa guidance na uangalizi mzuri.
Mpe support inapotokea kuna matamasha ya umiss, mpeleke ukiweza. Huu sio ule ulimwengu ili uwe na pesa lazima uwe HR, uwe Mwanasheria, Uwe Daktari, Uwe Engineer.
KWASASA MALEZI SIO KUMFANYA MTOTO AFANYE UNAVYOTAKA WEWE, KWASASA MALEZI NI KUMUONGOZA VIZURI MTOTO KWENYE KILE ANACHOKIPENDA