didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
Kama anavutia utaanza kupata mashemeji kama akina MondiLikizo nilimkataza sana asiwe anafanya hayo mambo ya umiss lakini hajanisikiliza hata kidogo na nashindwa cha kumfanya
JIHESHIMUSimba la masimba linamsubiri
Mdg wang ni minorKama anavutia utaanza kupata mashemeji kama akina Mondi
Ana umri gani? Ex wangu alikuwa anajihusisha na umiss nikaachana nae. Akautumia umiss wake kufanya awareness kwenye jamii na kufanya kazi na mashirika na taasisi kubwa. Matokeo yake anafanya kazi nje mimi boya nimebaki hapa.Kama mnavyojua shulen sio kusoma tu bali na michezo na fani zinginezo. Katika hobby zote, mdg wangu wa kike amechagua umiss na anaupenda sana. Likizo nilimkataza sana asiwe anafanya hayo mambo ya umiss, lakini hajanisikiliza hata kidogo na nashindwa cha kumfanya.
Walim wake wanadai ni kipaji chake na ni kitu anakipenda sana😭
Nimewaza kumuhamisha shule lakin naona ni yaleyale maan akihamia nyingine ataendelea tu. Sijui cha kumfanya wala cha kufanya.
Na je ni ruhusa kwa shule kua na mambo kama hayo ya umiss?
Nayajua maumivu yake, lakini yakupasa ubadili tu mindset mkuu.Kama mnavyojua shulen sio kusoma tu bali na michezo na fani zinginezo. Katika hobby zote, mdg wangu wa kike amechagua umiss na anaupenda sana. Likizo nilimkataza sana asiwe anafanya hayo mambo ya umiss, lakini hajanisikiliza hata kidogo na nashindwa cha kumfanya.
Walimu wake wanadai ni kipaji chake na ni kitu anakipenda sana😭
Nimewaza kumuhamisha shule lakin naona ni yaleyale maan akihamia nyingine ataendelea tu. Sijui cha kumfanya wala cha kufanya.
Na je ni ruhusa kwa shule kua na mambo kama hayo ya umiss?
Tuwaache watoto wafanye vitu wanavyovipenda ,tujifunze kwa Bi Sandra alivyoruhusu DAYAMONDI kufanya muziki ,leo DimonDi ni Ze Bilionea.Nayajua maumivu yake, lakini yakupasa ubadili tu mindset mkuu.
Hata Hawa mamisi tunaowaona, kuwafurahi, na kuwashabikia hawakuungwa mkono majumbani kwao ila ndiyo hivyo.
Ukiendelea kumsumbua atakuja kukuambia, "maisha ni yangu, we shughulika na yako, mi sipangingwi...".
CC King Kong III.
Hakika. Mwisho wa siku maisha ni ya mtoto si ya mzazi au ndugu.Tuwaache watoto wafanye vitu wanavyovipenda ,tujifunze kwa Bi Sandra alivyoruhusu DAYAMONDI kufanya muziki ,leo DimonDi ni Ze Bilionea.
Wekezeni, siku akishinda mama atampongeza mama yule wa juzi.Kama mnavyojua shulen sio kusoma tu bali na michezo na fani zinginezo. Katika hobby zote, mdg wangu wa kike amechagua umiss na anaupenda sana. Likizo nilimkataza sana asiwe anafanya hayo mambo ya umiss, lakini hajanisikiliza hata kidogo na nashindwa cha kumfanya.
Walimu wake wanadai ni kipaji chake na ni kitu anakipenda sana😭
Nimewaza kumuhamisha shule lakin naona ni yaleyale maan akihamia nyingine ataendelea tu. Sijui cha kumfanya wala cha kufanya.
Na je ni ruhusa kwa shule kua na mambo kama hayo ya umiss?
😂😂😂Simba la masimba linamsubiri