Mdogo wangu wa kike ameanza kushiriki kwneye mambo ya Umiss

Ndo kwanza yupo form 2..me naumia kiukwel naona kama atamegwa na kumuona na vile vinguo eti anatembea kuwafurahisha watu
 
Ndo kwanza yupo form 2..me naumia kiukwel naona kama atamegwa na kumuona na vile vinguo eti anatembea kuwafurahisha watu
Kama Form 2 hapo bado hajakua kiakili. Angalau angeanzia Form 5 au Certificate uko, au hamna hamna Form 4.

Unaweza mzubaisha kwa muda walau miaka miwili mbele ndio aendelee. Kipaji hakipotei na hata hivyo hizo faida nilizotaja hapo juu hawezi kuzipata kwa level hii aliyopo, wala akichelewa mpaka nilipopendekeza aanzie haina negative impact kwenye career. Ningekuwa mimi ningemkataza kwanza huku namjenga kwa ushauri.

Elimu ya siku hizi kwa kaya za kawaida bila mtoto kuwa na kipaji cha ziada anakosa kitu. Umeona CRDB walitoa 20M kwa content creator wa chuo, na 500k zawadi ya best student.
 
Ushachelewa,
 
Muache usikatize ndoto yake
Nina dada alianza hivyo akiwa secondary kwlei alikuwa miss ndoto yake imetimia πŸ’―
 
Muambie utamsupport kwenye mambo yake ya umiiss kwa condition ya kuendelea kusoma. Pia mjengee huo Umiss autazame kama Public Figure mwenye kuweza kuleta Impact chanya ya jamii. Auone umiss kama jambo chanya sio kuvaa vichupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…