Uamuzi ni wa muhusika, aidha ni mzuri au si mzuri ni yeye ndio anajua.
Wee kwako shida nini?
Koka, hata kama wewe ni shoga au mtetezi wa ushoga, fact ni fact.
Huwezi kusema kwamba mwanamume “kuzibuliwa mtaro” ni uamuzi mzuri au mbaya kwa sababu tu anayefanyiwa ndiye anayejua. Mambo yanapaswa kutazamwa kwa kuzingatia ukweli, madhara na faida zake, si hisia au mitazamo binafsi pekee.
Kwa mfano, zamani wanaume wengi hawakuwa wakitahiriwa. Baadaye, tafiti za kitabibu zilionyesha kwamba kutahiriwa kunaweza kupunguza hatari ya kupata baadhi ya maambukizi, yakiwemo baadhi ya magonjwa ya zinaa. Ndiyo maana elimu ya “KATA SWETA” imekuwa ikitolewa. Sasa, katika kizazi hiki, mwanamume asipotahiriwa, huo ni uamuzi wake binafsi, lakini huwezi kusema kwamba kutotahiriwa hakuhusiani na madhara yoyote ya kiafya na kusema ni uamuzi mzuri au mbaya anayejua yeye aliyekataa kutahiriwa.
Vivyo hivyo, baadhi ya makabila zamani yalikuwa yakifanya FGM kwa wanawake, yaani kukata sehemu za nje za siri za mwanamke. Watu waliohusika waliona ni jambo la kawaida na sahihi kwa mujibu wa mila zao. Hata hivyo, baadaye ilibainika kwamba kitendo hicho kinaweza kusababisha madhara makubwa ya kiafya, ikiwemo matatizo wakati wa kujifungua na kuathiri hisia za kingono kutokana na kuharibiwa kwa tishu nyeti, ikiwemo clit.
Kwa hiyo, huwezi kutetea kitendo chenye madhara kwa hoja kwamba aliyekifanya au aliyefanyiwa ndiye anayejua kama ni sahihi. Mila, mazoea na maamuzi binafsi haviwezi kuwa sababu ya kupuuza ukweli wa kisayansi kuhusu madhara ya kiafya.
Kwa ujumla, jambo lenye madhara linapaswa kutathminiwa kwa kuzingatia madhara yake, hata kama baadhi ya watu wanaliona kuwa ni sahihi.
In General uamuzi mbaya ni mbaya tu ,mwanamme ameumbwa kupeleka MOTO ikitokea kwamba ameanza kuzibuliwa MTARO na kuja kusema ni uamuzi mzuri kwasababu eti alizaliwa na hormone nyingi za KIKE ni kuhalalisha USHENZI wa USHOGA.....Kama wanawake wanapata tatizo la hormone imbalance na kupata matibabu na kuwa sawa ni hivyo hivyo zipo tiba kwa wanaume ,kumuacha azibuliwe eti kisa ana hormone za kike nyingi ni UPUUZI ,watoto wengi wanaharibika wakiwa wadogo na kipindi hicho wala hawajui hata hizo hormone ni kitu gani.(Miaka mi3 mpaka 13 ni hatari ,akipita hapa salama anakuwa ashajielewa hauwezi kumdanganya kwa pipi ili umzibua mtaro).