Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Kwa hiyo mtoa post asimkanye mdogo wake kisa nini? Kuna watu mna IQ ndogo mno ku process mambo.
Ilianzaga hivi hivi kipindi hicho kwa mdogo wangu

Sasa hivi ana mtoto mmoja, acha kufatilia kama anajifanya mbishi atajifunza ipo siku.
 
Am little bit old skool, sidhani kama jibu langu litakufaa

Ila pia inategemeana na familia unayotoka, kwa aliyetoka mbavuni ni tofauti na yule wa magetini, wa mbavuni anamuona dada yake ni asset kwamba anatakiwa asome, afaulu, apate ajira, afanye maisha then akomboe ukoo.

Ila kama we ni wa magetini utamuacha kivyovyote as long as her future is totally guaranteed.

Anajua anachokifanya ila hajui kama anaongozwa na hisia (genye mshindo) ila uhalisia ni kujiaribia maisha kwa mimba zisizo na matarajio, na kupoteza focus kwenye masomo only to end up failure as* b*tch
Ahsante kwa maelezo yako mazuri, nmejifunza kitu pia. Ubarikiwe.
 
Tatzo limeanzia kwako Wew kaka mkubwa, Mpaka Leo unakaa kupishana na Dada zako Hapo kwenu alikusema vile mbele ya Dada wa kazi Ili uondoke ukapange kwako na kingne uache kufatilia mambo yawanawake .
Sio wanawake, ni mdogo wangu, more enough anasoma. We ni mku ndugu yangu!?
 
Miaka 26 bado upo kwa mama unasubiri chakula cha hausigeli. Huyu mdogo wako kakushauri vyema kuwa uwe kama mwanaume. Sasa wewe endelea kutetemeka hapo halafu kesho umwombe mama hela ya kunyolea ndevu na vyuzi lako
Amna mkuu me nna kwangu
 
Chakula ya watu hiyo br,we fuata mambo yako ngojq tumlee
 
Eti akuna nitakachomfanya, kweli we ni mku nduguyangu. Nilifunga kamba nimetia mikanda nikamuacha kavimba karibu mwili wote. Anaugulia maumivi bado mpaka muda huu, nenda kashitaki sasa.!!! Mimi ndio kaka
 
Ukiona mbwa anakubwekea ujue kuna mtu anamlisha..

Anadate na mtu aliyemuacha miaka 10 na anammudu. Wewe wa miaka 6 unawezea wapi?

Matusi mengine mnayatafutaga wenyewe.

Na hakuna utakachomfanya. Sheria inamlinda kama mwanamke.

Kale shoti kadhaa, utulie.

Satan
Eti akuna nitakachomfanya, kweli we ni mku nduguyangu. Nilifunga kamba nimetia mikanda nikamuacha kavimba karibu mwili wote. Anaugulia maumivi bado mpaka muda huu, nenda kashitaki sasa.!!! Mimi ndio kaka
 
Bro kwa hayo majibu huyo dogo alikua tayari kwa lolote hata kugombana na katika kugombana Kuna Mambo mengi akikulia tu timing na mtwangio akakushia nao kwenye medula ukakolapsi je utafanya nn ....? Si ndio aibu itakuwa maradufu.


Hapo dawa ni kumfungia tinted tu, unakata kamba nyanja zote block kila mahali , huduma zote ambazo ulitakiwa kumpa yeye kwa jeuri unaelekeza mashambulizi kwa beki tatu , yaani unamfanya beki tatu ndio Dada yako sasa ....kwa kufanya hivyo najua ataanza kumletea wivu beki tatu lakini wewe hakikisha unakua upande wa beki tatu maana ndio Dada yako kwa Sasa na kwakua anatumika huko nje na hawana malengo nae akisha pigwa pumbu tu na wahuni wakakimbia hapa akili itaanza kumkaa sawa lazima atajileta kwako na kukuomba msamaha na wewe hakikisha amekuomba msamaha si chini ya Mara tatu mazingira tofauti hapo ndio umsamehe na kwa conditions zako ...hapo utamnyoosha na atakuheshimu kweli na kukuogopa Sana ila akijileta tu na kimsamaha Cha kwanza tu ukaanza kuchekacheka hapa imekula kwako hayo mambo lazima yajirudie in advance mode [emoji38][emoji38][emoji38] utakuja kuleta uzi Tena humu wenye kichwa kinacho sema mdogo wangu amenitukana Tena amesema Mimi ni shoga
Duh! Eti kwenye medula oblongata. Labda wewe sio mimi mkuu, na kwann akupige kwanza? Huoni utakuwa mzembe na unatakiwa kuwajibishwa vikali na sheria za kiume?
 
Miaka 20 unnamshauri nini?
Huyo ni mtu mzima..
Unam treat mtu wa miaka 20 kama ana miaka 12..?

Matusi umejitakia..
Vijijini huyo ni mama wa vikoba na analima shamba lake mwenyewe
Upigwe na radi ufee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]
Na majivu yako yatupwe mto wami daraja jipyaa..
Na yasogezwe mpaka bahari ya Hindi[emoji23][emoji23]
Na yasipumzike, yazungushee mpaka ulaya na asia. Na huko yakagandishwe Antarctica[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ubaba ni ubabe
Ukaka ni ubabe mchanga.

Kama angejua Wewe ni mbabe na mkorofi wala asingethubutu kujibu mashudu, Kwanza kufika kwako hapo angeona anabahati Mbaya.

Tatizo Vijana wa siku hizi mnajifanya mnabusara zilizopitiliza Hali inayofanya mnafanana na wanawake.

Hii kesi isingekuwepo kabisa,

Kama hujawahi kupiga mtu akazimia au kupelekwa serikali za mitaa au mahabusu unafikiri mtoto wa kike atakuheshimu?

Atakuona umwoga.
Taikon..!
 
Miaka 20 unnamshauri nini?
Huyo ni mtu mzima..
Unam treat mtu wa miaka 20 kama ana miaka 12..?

Matusi umejitakia..
Vijijini huyo ni mama wa vikoba na analima shamba lake mwenyewe
Nilijuaga una akili sana
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom