Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Namuambia anivulie kwani vepee?Kwanza amekustahi sana, angekua mwingine angesema kama inakuuma akuvulie mwenyewe umsaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuambia anivulie kwani vepee?Kwanza amekustahi sana, angekua mwingine angesema kama inakuuma akuvulie mwenyewe umsaidie.
SafiMkuu hudhuria vikao vya wanaume,,, Hili la kutocheka cheka na wanawake tulishasisitiza sana...
Kidume kuna wakati unatakiwa kuwa mkali sana
SE N-G-E lingine hiliTafuta ela brother.Ukiwa na ela huwezi kufananishwa na mwanamke
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Nampa si kaniombaItakuja siku utaambiwa "kaka nipe wee kile anachonipa yule unaempigaga ngwara" sijui utasemaje lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushauri mzuri sana.Kama unaishi kwenu hama.
Pia umekuja na story ya upande wako. Unajua sisi wengine tunasoma between lines. Mpaka anafikia kukuambia uache mambo ya kike, ni wazi wewe haumshauri bali unamfanyia unoko kinoma na unapiga sana gubu ambalo hapa unasema ni ushauri.
Acha hasira na ubadilishe approach. Msikilize pia kwani naye anazo akili zake ambazo hautakaa usmzijue hadi uoneshe kumuamini.
Boya sana wewe
Sasa kwann wee umtese jamaa anaemfanya dada ako afike kilelen, waache bhana wapeane mautamu lol, nawee tafuta dada wa mtu kumkamua uwiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haiwezekani hiyo kwa sababu nishajenga heshima kwa kutomuuliza tuhuma za kikubwa, hivyo hawezi pata ujasiri wa kuniuliza swali la kikubwa namna hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msieeeew chizi wee.Nampa si kaniomba
Rejea mada mwanafunzi wa form four thats it, kinacholindwa ni uanafunzi wake siyo wivu wa kugegedwa, na ninachokieleza ni kipindi yupo shule akeshamaliza sina habari na lolote hata apewe mimba ikataliwe ntamsaidia mahitaji, hakuna mambata tena, tatizo vijana wengi siku hii akili zenu zinawaza chini tuSasa kwann wee umtese jamaa anaemfanya dada ako afike kilelen, waache bhana wapeane mautamu lol, nawee tafuta dada wa mtu kumkamua uwiiiiih![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huwezi kuja kujisifia kwamba kutwa unapambana na kuwajeruhi shemeji wanaokuja kwa dada yako kama siyo wivu uliopitiliza ni nini sasa.Duh Mungu akusamehe, hata kama jf ni sehemu huru ya kueleza hisia zako hicho ulichokieleza it really coming from your experience omba sala ya toba kiongozi
Unadhani yupo sawa?Ushauri mzuri sana.
Ila kumwita BOYA kumeondoa ladha yote.
Khaa shemeji! how?Huwezi kuja kujisifia kwamba kutwa unapambana na kuwajeruhi shemeji wanaokuja kwa dada yako kama siyo wivu uliopitiliza ni nini sasa.
Usidhani watu hawajui codetion uliyoweka.
Mkeo ndo umuonee wivu. Wivu uliopitiliza kwa dada dada yako si kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeuaPole sana mkuu, ingekuwa mdogo wangu saivi angekuwa amelazwa hospital akipigania uhai wake
Anapata wapi ujasiri wa kukuambia ivyo?au ushamla?Kama amevuka 18yrs humuwezi, keshajua kila kitu, niacheni akafundishwe dunia, vidume vinamchanganya, hao wanaomkanya wapo sahihi. Mm Nina beki 3, ana 17 yrs saa hizi ananiaga kaitwa mahali Ila nisimwambie wife km anatoka, Leo Mara ya 3 anaenda pigwa, Sasa ndio nitetemeke?
Mie nimesha kuelewa sana, afadhari umenipa na faida ya kujua kitu, naomba nkuulize, hivi mtu hadi akaamua kuwa ktk mahusiano ya kimapenzi anakuwa hajui nn anafanya? Hata km n mwanafunzi wa 4m 1?Rejea mada mwanafunzi wa form four thats it, kinacholindwa ni uanafunzi wake siyo wivu wa kugegedwa, na ninachokieleza ni kipindi yupo shule akeshamaliza sina habari na lolote hata apewe mimba ikataliwe ntamsaidia mahitaji, hakuna mambata tena, tatizo vijana wengi siku hii akili zenu zinawaza chini tu
Im sorry you take it negatively, stay with your negagivity wenye akili timamu wamenielewa
Im too matured to date a student, kwanza anaanzaje kuhimili hizi mishindo
Ninashangaa, wakati mwanangu miaka 16 amehitimu kidato cha 4. Huyu 20 bado tu?
Pole, sidhani kama umekosea kumshauri ikizingatiwa wewe ni kaka na ndio mzazi (Mjomba) ikitokea akijaliwa mtoto/watoto. Kikubwa, usikate tamaa, tafuta mqzingira mazuri na namna njema zaidi ya kuzungumza nae. Mara zote, fanya jambo Sahihi, kwa Wakati Sahihi na kwa Njia Sahihi.Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana.
Sasa leo nimekuja hapa home nimekuta wanamsema huyu mdogo wangu, kuhusu tabia za kihuni. Mimi kama kaka mwenye uchungu na kuharibikiwa kwake nikalazimika kuvunga ili baadaye nimuulize. Sasa hatimaye nikapata nafasi nikamuuliza shida nini, akasema wanamsingizia ameanza uhuni. Nikamshauri sana na kumuambia asome kwa bidii, ukizingatia nimemzidi miaka 6.
Akanijibu na kuniambia niache mambo ya kike, niwe kama mwanaume na nisimfuatilie fuatilie. Sikuamini kwa kauli hii, nusu nizimie kwa kweli. Mpaka muda huu bado siamini, kosa langu lipi?
Je, au ndio haitakiwi kumpenda na kuzoeana na mdogo wako wa kike? Kumsisitiza kusoma ni kosa? Nimeukumbuka uzi humu wa jamaa akisema hakuna kucheka cheka na mwanamke awe ndugu yako au mtu baki, nimeamini sasa. Mbaya zaidi haya matusi amesikia mpaka house girl, ambaye tulikuwa tunaheshimiana sana. Hivi nitamuangaliaje usoni? Kifupi sipo sawa, bora angekuwa mtoto ndiye amenitukana, ila huyu binti wa form four mwenye akili timamu mwenye miaka 20 hapana.
Bado sijaamini! Sijui cha kuomba ni nini, ushauri au... Nashindwa ku type sipo sawa.