Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Anza na beki tatu kwanza upunguze hasira

Halafu masuala ya wasichana waachieni dada zao kama hakuna yupo mama au shangazi wewe hangaika na kumsaidia financially ili wasitusumbue huku mitaani kwa kuombaomba tuhela twa chips [emoji489] na vocha

Beba ushauri huu au acha is up to you man
 
Hilo tusi alilokutukana ni sehemu ya ushahidi kwamba kweli mdogo wako huyo ameanza kujihusisha na 'uhuni'.
 
Shida ni palenunapojaribu kutatua mambo kwa style ya kizungu huku MTU amezungukwa na jamii ya kiafrika,mie mdogo wangu wa like alileta hizo pigo nilimwambia aondoke kwangu afanue mambo yake siku hizi amekuwa mdogo kama pilton.
 
Usikute mleta mada ameshatomber sana dada za watu, inapokuja zamu yake kulipa deni anajifanya ana uchungu sana na dadake.
Acha wahuni wamtembezee ukuni vizuri, hapo kikubwa kuomba tu wahuni wasije kumpandisha daladala za Buza wakampeleka kwa Mpalange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…