Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Hata kama ametumia mbinu isiyosahihi, ila nadhani kuna jambo inabidi ulitafakari.
Jukumu la kaka mwenye miaka 26 kwa dada mwenye miaka 20 sio kumwambia nini cha kufanya, ni kumshauri kisha maamuzi anafanya mwenyewe.

Mdogo wako wa kike ana mengi ya kushauriwa, ila mengine mengi anayajua kwa umri huo.
 
Ahsante sana

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Shida ni palenunapojaribu kutatua mambo kwa style ya kizungu huku MTU amezungukwa na jamii ya kiafrika,mie mdogo wangu wa like alileta hizo pigo nilimwambia aondoke kwangu afanue mambo yake siku hizi amekuwa mdogo kama pilton.
Ahsante, ila huyu wangu haishi nyumbani kwangu, anaishi kwa wazazi bado!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hapana, naheshimu mno wanawake

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…