Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira


Chapa kelbu aangukie kando
Pumbavu huyo unampa usia kirafiki anataka alete kujua! Kua friendly kwake haimaanishi akukosee adabu please while uko friendly ila maintain authority!
 
Ni Msukuma halafu mfupi Sana, lazima atanasa, nitapoteza mbegu ya ukoo wangu, wife atagundua mapema, saa hizi tu kiburi, umri unamtuma anaweza beba baba yoyote
We boya futa hilo kabila kwenye huo upuuzi wako.
 
Usimfanye chochote mchunie kwenye kila jambo, no zake futa hata ukikutana nae njiani pita kimya.kuna siku atatambua kuwa wewe ni kaka yake aje akuombe msamaha.
Ushauri huu auzingatie sana,binafsi mi nina dada zangu wengi tu yni mi ndo mkubwa wao, tunaheshimiana tunapendana tunataniana, ila mmoja ndo nimeivana nae sana atanambia wifi huyu mbaya huyu mzuri n.k,

Ila mi sijawah comment kuhusu mambo yake japo nayajua mpaka anajua kama najua,hivi naanzaje kuongea na dada angu kuhusu mambo ya ndani,

Mdogo wangu wa kiume ndo nazungumza nae kuhusu mambo ya afya na wanawake,na maisha,

Ye jamaa alitakiwa amcontrol dada ake kuhusu muda wa kurudi home,ufaulu kudrop,dharau, basi yni apo anamlamba fimbo heshima inarudi
 
Ukiona mbwa anakubwekea ujue kuna mtu anamlisha..

Anadate na mtu aliyemuacha miaka 10 na anammudu. Wewe wa miaka 6 unawezea wapi?

Matusi mengine mnayatafutaga wenyewe.

Na hakuna utakachomfanya. Sheria inamlinda kama mwanamke.

Kale shoti kadhaa, utulie.

Satan
 
Eti sheria inamlinda kama mwanamke, yaani ingekuwa ni mimi akizingua hivyo anachapwa halafu akashitaki popote, yaani ananyooshwa vizuri tu. Unafikiri sheria inahukumu hukumu tu?
 
Kwa hiyo mtoa post asimkanye mdogo wake kisa nini? Kuna watu mna IQ ndogo mno ku process mambo.
 
Kaliwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hivi ili kumshushia tusi huyu juha mleta uzi unabonyeza wapi😀
Maana hajielewi,yaani dogo anitukane nimwache hivihivi🤔
 
Sijui amanita wapi kukujibu huo ujinga, huyo dogo itakuwa ni kweli kaanza uhuni na wala hawamsingizi, hapo anamuheshimu huyo boy wake wengine wote anawaona takataka.

Kwa kweli ingekula ni mdogo wangu mimi ndio kanijibu hivyo angekula viboko vya kutosha na ninahakika angemtaja huyo muhuni wake nisingejali umri wake naamini asingenisahau kwa mboko ambazo angekula. Pole sana mkuu wewe ni mnyonge sana.
 
Yuko sawa. Achana naye. Fuatilia yako ambayo tunaamini yako mengi mno.
Acha mambo ya kike. Uwe mwanaume boss.
 
Bro kwa hayo majibu huyo dogo alikua tayari kwa lolote hata kugombana na katika kugombana Kuna Mambo mengi akikulia tu timing na mtwangio akakushia nao kwenye medula ukakolapsi je utafanya nn ....? Si ndio aibu itakuwa maradufu.


Hapo dawa ni kumfungia tinted tu, unakata kamba nyanja zote block kila mahali , huduma zote ambazo ulitakiwa kumpa yeye kwa jeuri unaelekeza mashambulizi kwa beki tatu , yaani unamfanya beki tatu ndio Dada yako sasa ....kwa kufanya hivyo najua ataanza kumletea wivu beki tatu lakini wewe hakikisha unakua upande wa beki tatu maana ndio Dada yako kwa Sasa na kwakua anatumika huko nje na hawana malengo nae akisha pigwa pumbu tu na wahuni wakakimbia hapa akili itaanza kumkaa sawa lazima atajileta kwako na kukuomba msamaha na wewe hakikisha amekuomba msamaha si chini ya Mara tatu mazingira tofauti hapo ndio umsamehe na kwa conditions zako ...hapo utamnyoosha na atakuheshimu kweli na kukuogopa Sana ila akijileta tu na kimsamaha Cha kwanza tu ukaanza kuchekacheka hapa imekula kwako hayo mambo lazima yajirudie in advance mode [emoji38][emoji38][emoji38] utakuja kuleta uzi Tena humu wenye kichwa kinacho sema mdogo wangu amenitukana Tena amesema Mimi ni shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…