Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Hivi ni wangapi aliokutana nao na hajakueleza habari zao...

Teh teh teh
 
Ongea na mdogo wako, acha kumfuatilia mtu usiyemjua.

Unaweza kutaka kutandika zulia dunia nzima ili mguu wako usiguse chini.

Au unaweza kuvaa viatu tu.

Kwanza ashukuru hata dogo kumweleza hilo jambo (Kuna watu wanautafuta huo ukaribu na ndugu/watoto wao na hawaupati).

Amicus Curiae, hii ni fursa ya wewe kuitumia kutoa darasa kwa dago, hata kama sio wewe binafsi ila hakikisha unafanya juu chini kuhakikisha dogo anapata muongozo suala la kufuata au kupuuzia ni lake.

Ni sawa na kumfumania mkeo na njemba usio ifahamu kisha unaanza kuiwajibisha wakati mtu mwenye wajibu wa kutunza ndoa yake kwako ni mkeo, hiyo njemba utaiwajibisha siku hiyo, na wengine je? Mfano wako unatumika eneo pana sana zaidi ya hii thraed, thanks.
 
Last edited by a moderator:

.....hahahahhhh, kuwa mpole tu bro.


#MosKwito !
 
Nimetoa ufafanuzi kuhusu age, soma comments zilizotangulia.

Mpaka upate shemeji wa kueleweka miaka hii, andaa albamu ya hizo bizinesi kadi. La sivyo utakuwa na kesi nyingi sana za kusimamia mahakamani kwa gharama zako
 
Dada yako bikra au tayari kavurugwa?
kwa hiyo huyo mtoto ndo kaajiriwa au? na imekuaje mtoto kaajiriwa?
Ila nakuonea huruma sana
 
Watu wanakula mtoto wa mkuu wa majeshi,presidents sembuse Dada yako
 
Kama anafanya kazi bila shaka ana umri uliopindukia miaka 18, miaka ambayo mtu anaweza kuajiriwa. Kwa sheria za nchi yetu umri wowote baada ya miaka 18 ni wa halali kwa kujiamulia kufanya lolote bila ya kibali cha mzazi wala mlezi. Bila shaka huo ni mkwala tu wala hakuna lolote la kisheria la kumzuia mtu kufanya mahusiano na Binti huyo. Labda kama huyu Bwana kama atatumia njia za kujichukulia sheria mikononi, jambo lililo kinyume cha sheria za nchi hii.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Pesa huna,nguvu huna,la hasha mkwara ndo silaha yako ya mwisho.hapa jungle law lazima ihusike,usituchoshe na quod pro quo
 
Jamani kwanza dogo ndo kampenda! Waache jamaa atakuja tuu,kuwa mvumilivu
 
Unahoji usomi wangu kama nani??

Wewe ni board member wa TCU?

Au chairman wa Tanganyika Law Society?

Mama.yooo....

nahoji kwasababu umekuwa ndezi la mandez yaan ni bonge la ngumbaro. Unashindwa kutatua mambo madogo kama haya unakuja kutoa vitisho jf! Pumbu kweli ww
 

bora umeliambia linatoa povu tu hapa halina hata point hiri rijamaa sijui rikoje amang'ana
 
Wacha mikwara wewe,
mdogo wako mwenyewe kanishobokea, kolea. Si umeona kasema ''kanielewa'' sana??
 
oo...sijui mdogo wangu ...sijui nn! kama ni kweli unataka aolewe na mtu sahihi weka picha ake hapa tumuone. Serious nataka nimuoe"
 
1.....mdogo wako
2.....ana miaka 17
3.....anafanya kazi embassy fulani
4.....ameenda kiwanja night kali Igoz lounge
5.. ..anajua kupenda kupindukia
6.....we ni loya unamwacha minor afanye yote ya hapo juu na unataka taratibu zifuatwee


NIMECHOKA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…