Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Yale yale! Kwa hiyo hata sheria ya U-18 ina apply kuwa haitekeleki?

Mkuu ukitembea na mtoto wa below 18 lzm uwe strictly liable kwasababu sheria iko wazi. Sheria yenyewe ni SOSPA ( Sexual Offences Special Provision Act)

Kwa kesi ya kufanya kazi kwny balozi ni tofauti, as i told u sera za ajira kwny maeneo haya wanapima uwiano kati ya qualifications na perfomance ila age limit ni kuanzia miaka 17.

Sasa ukisema miaka pia haitekelezeki una maana gn? wkt nimeshakueleza ukiwa na sifa na umri wa miaka 17 unaweza kuanza kazi kwenye balozi kama intern wkt huo unakua kwny probation, wakiridhika na perfomance yako ndio wanakupa mkataba wa kudumu at the age of 18.


Kipi kigumu hapo?
 
Alafu pafume ambazo zinauzwa angeweza kuuliza jina akaenda kumnunulia bby wake ambae anampenda.
 

kupata number yake ya simu
 

Hahahahaaaaaaaaaaa!!!!!!!
Mkuu unakosea sana tena unachemka mno hamnaga kitu kama hiyo kwenye mapenzi. unapoteza muda wako tu na utaishia kupata aibu.
 
Haya 0777 778004.

Umeridhika? mm sikatai shemeji ila awe na nia njema tu na mdg wangu.

Hahaa
Amicus, umerudi tena kwenye gambe? kweli hii kitu kuacha inahitaji moyo sana! Hivi we umejuaje anataka kumchezea?
 
Mikwara mingine bwana raha sana..!! Eti "mimi lawyer..."! Unajuaje mwenzio ni law kabisa...! Badala yake tumia fursa ya dogo kukwambia ukweli pia na contacts za jamaa umpigie debe mdogo wako aolewe fasta, maana waoaji wachache siku hizi...
 

Dah! Pole sana, dada sio wa kuchungwa namna hiyo na usiruhusu awe anakueleza upuuzi wake wa namna hiyo, hata wakienda kumgegeda atakwambia? Usiuweke ukaribu sana na dada yako ili heshima iwepo.
 
Jinsi ulivyoandika hii thread inaonekana kabisa ni hasira za kigambe hizi! Nijibu basi umerudi? na nini kimekufanya urudie Gambe?

Hahahaa hapana mkuu situmii ile kitu nilishaachaga.
 
Hahahaa,leo ndio naamini ule usemi kuwa sometym dada ako akiwa mzuri sana majanga
 
mla kuku wa mweziwe miguu humuelekea kwa vile wewe unagegeda nawe kugegedewa muhiiiiimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…