masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
kwani unadhani anataka kumbaka au watakubaliana!
Acha kula ugoro wewe!
Rejea uzi wangu tena sio unakurupuka tu kucomment
Ken.ge maji we...
Una kiwango gn cha elimu na umesomea nini? tuanzie hapa kwanza...
We hujawahi kuchezea dada za watu?
Mla huliwa....thats a formula.
Halafu mbona umechelewa....kashachezewa sana....kama unabisha mpime bikr......!
Ana ubavu? Angekuwa nao asingeanzisha threadSi ungechukua hiyo business card ukampigia umuonye?
Acha mikwara
kuna wadada
BABA NI MJESHI
MAMA NI POLICE
UNCLE ASKARI MAGEREZA
KAKA NI JUDGE
DADA NI USALAMA WA TAIFA
AUNTIE NI MKUBWA WA JESHI LA ANGA
BABA MDOGO NI KIKOSI MAALUM JESHINI
lakini akijilengesha anachezewa anachwa na kijana anaendelea kuwa mtaani mwenye afya tele
hili jiji kila mtu ana yake kichwani wengine wanataka starehe tu tena ndo kama kila mtu alikua bwiii???
muombee dogo HUNA CHA KUFANYA KWA LOLOTE LITAKALOTOKEA
kuna wadada
BABA NI MJESHI
MAMA NI POLICE
UNCLE ASKARI MAGEREZA
KAKA NI JUDGE
DADA NI USALAMA WA TAIFA
AUNTIE NI MKUBWA WA JESHI LA ANGA
BABA MDOGO NI KIKOSI MAALUM JESHINI
lakini akijilengesha anachezewa anachwa na kijana anaendelea kuwa mtaani mwenye afya tele
hili jiji kila mtu ana yake kichwani wengine wanataka starehe tu tena ndo kama kila mtu alikua bwiii???
muombee dogo HUNA CHA KUFANYA KWA LOLOTE LITAKALOTOKEA
Nina wadogo zangu wanne wa kike.
Ana ubavu? Angekuwa nao asingeanzisha thread
Mbona hatari sana. Jua sheria ya kujamiiana inakataza kaka kumgusa dada=)Mkuu utafiti mimi sikatai kuwa na shemeji ....
Mbona hatari sana. Jua sheria ya kujamiiana inakataza kaka kumgusa dada=)
asintishe na ulawyer wake nna hela mbaya ntamkodia malawyer wenzie akina kibatala wabatue CBA chama kubwa afu dadake laini kama maini ya mbeya ye ke hawezi mwambia kama mzigo nsha gonga sana mikasiHahahaha mwenye dada hakosi shemeji blaza huo mkwala tu