Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!


lakin angekuwa anamaelengo mema angemwita huyo jamaa anayemmendea dada yake. Sasa anakuja kuropoka hapa mtandaon hvi unafikir mwanaume kweli huyu. Hli jambo lilikuwa ni kumwita huyojamaa na kumuuliza unamalengo gan na mdogo wangu? Then angepewa majibu. Sasa anakuja kutubwabwajia sisi hapa unafikir tutamwonea huruma?? Hizo ni kelele za mbwa koko aliyevamiwa na ngedere anakimbilia na kubwekea bila kumwona ngedere kajificha wapi?? Halafu anajiita mwanasheria hvi kuna usomi gan hapo.
 
Kwanini umpe salam kwenye JF wakatu business card yake unayo? na unahakika gani kama jamaa amempenda huyo binti na yuko tayari kwa ndoa? mwanamme hukaa chini akaongea na mwanamme mwenzie kika eleweka kama kama mbivu au mbichi...au unataka na yeye aje JF atoe majibu? mpigie muonane muonge kiume............
 
Sijaona sababu za msingi wewe kuleta huu uzi humu.
 
haya sasa nakuachia nione utamfanya nini mwenyewe
 
Anakuja kujitambulisha tu thn anasubiri mpk nxt year march dogo atakua na 18.

Kama anampenda atasubiri.

Yaani wakutane leo na leo hii aje kwenu kujitambulisha?!
Ngumu sana hiyo ndugu.
Kama mdogo wako amelelewa vyema atajilinda mwenyewe maana hawezi kuwa na mlezi 24/7
 
Nimekuelewa ila umenichukuliaje nipigie simu tuonge mkuu sina nia mbaya msalimie sana
 
Hacha hasira. mapenzi kwanza ndio inafuata ndoa. haraka haraka haina baraka.
 
Yaani wakutane leo na leo hii aje kwenu kujitambulisha?!
Ngumu sana hiyo ndugu.
Kama mdogo wako amelelewa vyema atajilinda mwenyewe maana hawezi kuwa na mlezi 24/7

Mbona watanzania tuna vichwa vizito namna hii??

Mm sina maana hiyo hata kdg...

Hebu rejea uzi wangu tena uuelewe...
 

Unahoji usomi wangu kama nani??

Wewe ni board member wa TCU?

Au chairman wa Tanganyika Law Society?

Mama.yooo....
 

Naenda taratibu mkuu
 
Mbona watanzania tuna vichwa vizito namna hii??

Mm sina maana hiyo hata kdg...

Hebu rejea uzi wangu tena uuelewe...

Nimesoma kwamba mdogo wako kakutana na jamaa jana na yeye mdogo wako kampenda/amevutiwa ( amemuelewa kwa maelezo yako) wewe unataka afuate taratibu. Sasa ndo nikasema watu hawawezi kukutana siku moja waanze kutambulushana lazima wenyewe wafahamiane (sina maana ya kimahaba) na ndio hata nikakwambia kama dada anajielewa atakuwa na mipaka yake katika huo urafiki/uhusiano.
Au we unaposema afuate utaratibu una maana gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…