Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
kwani nani kasema ilizamia baharini kuna sehemu hapo nimeandika ilizamia baharini???
Anampenda mtu kwa arufu ya manukato tu? Atakuwa na majini huyo
Kwny sheria kuna legal maxim moja inasema "res ipsa loquitur" yaani " things speak by themselves"
Ingawa hujaandika kwamba imezamia baharini lkn kwa kuitaja tu ile ndege ukilinganisha na context ya kinachobishaniwa basi its obvious ulikua unamaanisha ilizamia baharini.
Astakafighulillah....
Hahahaaaa, ndo unamaanisha nin?
Mkuu we acha tu kuna makwazo sana humu JF
Pole sana kama kaka inauma sana,ukijua watu wanajilia dada ako bila malengo..umri ndo huo foolish age hyo huez mzuia,we mwache tu apate xprience..ila umwambie a-play safe!
active men, afu anajichanganya shem mara dadake anafanye embass flani mara umri hauruhusu embass gani itaemploy under 18?Oyaa ulitumia parfume gani
name ni test ni gonge mzigo? Hicho kiwanja nakipata anachopendelea
Kwenda huyo mnaye muita mtoto nione kama haita penya.
Blaza si umetuambia umetoka church? Sasa matusi ya nini tena?
Kwa hiyo siku manukato yakiisha na mapenzi yatakuwa yamefikia mwisho. Mpe pole yake!Anampenda mtu kwa arufu ya manukato tu? Atakuwa na majini huyo
active men, afu anajichanganya shem mara dadake anafanye embass flani mara umri hauruhusu embass gani itaemploy under 18?
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, anafanya kazi kwenye Embassy fulani (jina la Embassy kapuni), ila ana umri mdg bado na ni mlimbwende sana!
Sasa nimetoka zangu church muda si mrefu, baada ya kupata breakfast nikawa nashushia na ka-juice baridiii!
Nikaanza kumuona ananisogelea, mara ooh kaka nikudokeze jambo? nikamwambia go ahead. Amenizoea ndio, ila leo naona kama kavuka mipaka!
Akaanza ooh kaka jana nilikua Igoz Lounge, kuna mkaka alikua pembeni yetu nikamuelewa sana!!! Nikamuuliza anaposema anamuelewa anamaanisha nini?
Akasema amempenda! nikapigwa na butwaa! Akaendelea kusema eti amempendea perfume aliyokua amepulizia na ana uso wa upole!
Sasa to cut the long story short, we jamaa uliyekutana na mdg wangu jana, kama umo humu naomba uwe mstaarabu, kama umempenda kweli fuata taratibu. Ndio mdg wangu ameshakua mtu mzima lkn sipendi achezewe ktk umri mdg huu, she has a long way to go.
Unafanya kazi CBA, umemuachia business card, ulimkuta dogo na rafiki zake wanakunywa peroni ukataka kuwaagizia wakashukuru tu hawakukubali.
Mimi ni lawyer sasa kama unataka kupotezwa upuuzie haya maneno yangu, nimeshatoa 'disclaimer', jina lako ninalo hapa kwenye hii business card yako, sawa umependwa lkn uje nyumbani ufate taratibu tukupe mke, nimefunguka makusudi kwamba dogo kakupenda ingawa hakukwambia, coz nikificha huenda madhara yakawa makubwa zaidi.
Hata kama haumo humu naomba uzi huu uwe fundisho kwa wengine.
A.C
Mkuu utafiti mimi sikatai kuwa na shemeji ila taratibu zifuatwe
active men, afu anajichanganya shem mara dadake anafanye embass flani mara umri hauruhusu embass gani itaemploy under 18?
for ze sake ov safety, hajaachiwa bizness card tu, kamchek na afya yake baada ya mwezi moja. teh kaka lawyer around ze buSH.Dogo nimeshampa vyake mkuu.
Na sasa ni zamu ya huyu bwana, halafu sio kwamba simfahamu, nina business card yake hapa.