Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

kwani nani kasema ilizamia baharini kuna sehemu hapo nimeandika ilizamia baharini???

Kwny sheria kuna legal maxim moja inasema "res ipsa loquitur" yaani " things speak by themselves"

Ingawa hujaandika kwamba imezamia baharini lkn kwa kuitaja tu ile ndege ukilinganisha na context ya kinachobishaniwa basi its obvious ulikua unamaanisha ilizamia baharini.
 
Kwny sheria kuna legal maxim moja inasema "res ipsa loquitur" yaani " things speak by themselves"

Ingawa hujaandika kwamba imezamia baharini lkn kwa kuitaja tu ile ndege ukilinganisha na context ya kinachobishaniwa basi its obvious ulikua unamaanisha ilizamia baharini.

sitaki vifungu vyako mimi mpe huyo mdogo wako unaemchunga

WEWE NDO UMEMAANISHA IMEZAMA BAHARINI
SIO MIMI

kama wakufungwa ni wewe sio mimi mr LAWYER

wewe ndo umesema niambie una uhakika gani kama imezama baharini wakati mimi sikusema lolote
 
Me naona kama unamfikishia ujumbe huyo kijana kwamba mdogo wako kapenda kwahyo aendelee kumfatilia, hv kama kweli una nia ya kutoa warning business card siumeiona na ina mawasiliano kwanini hukumtafuta kweny cmu yake umpige huo mkwala?
 
Pole sana kama kaka inauma sana,ukijua watu wanajilia dada ako bila malengo..umri ndo huo foolish age hyo huez mzuia,we mwache tu apate xprience..ila umwambie a-play safe!

Apate experience??! hahahaa
 
Oyaa ulitumia parfume gani
name ni test ni gonge mzigo? Hicho kiwanja nakipata anachopendelea
Kwenda huyo mnaye muita mtoto nione kama haita penya.
active men, afu anajichanganya shem mara dadake anafanye embass flani mara umri hauruhusu embass gani itaemploy under 18?
 
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, anafanya kazi kwenye Embassy fulani (jina la Embassy kapuni), ila ana umri mdg bado na ni mlimbwende sana!

Sasa nimetoka zangu church muda si mrefu, baada ya kupata breakfast nikawa nashushia na ka-juice baridiii!

Nikaanza kumuona ananisogelea, mara ooh kaka nikudokeze jambo? nikamwambia go ahead. Amenizoea ndio, ila leo naona kama kavuka mipaka!

Akaanza ooh kaka jana nilikua Igoz Lounge, kuna mkaka alikua pembeni yetu nikamuelewa sana!!! Nikamuuliza anaposema anamuelewa anamaanisha nini?

Akasema amempenda! nikapigwa na butwaa! Akaendelea kusema eti amempendea perfume aliyokua amepulizia na ana uso wa upole!

Sasa to cut the long story short, we jamaa uliyekutana na mdg wangu jana, kama umo humu naomba uwe mstaarabu, kama umempenda kweli fuata taratibu. Ndio mdg wangu ameshakua mtu mzima lkn sipendi achezewe ktk umri mdg huu, she has a long way to go.

Unafanya kazi CBA, umemuachia business card, ulimkuta dogo na rafiki zake wanakunywa peroni ukataka kuwaagizia wakashukuru tu hawakukubali.

Mimi ni lawyer sasa kama unataka kupotezwa upuuzie haya maneno yangu, nimeshatoa 'disclaimer', jina lako ninalo hapa kwenye hii business card yako, sawa umependwa lkn uje nyumbani ufate taratibu tukupe mke, nimefunguka makusudi kwamba dogo kakupenda ingawa hakukwambia, coz nikificha huenda madhara yakawa makubwa zaidi.

Hata kama haumo humu naomba uzi huu uwe fundisho kwa wengine.

A.C

well said !

yareiti wote tufuate taratibu !! Majanga free !!
 
Mkuu utafiti mimi sikatai kuwa na shemeji ila taratibu zifuatwe

mh lawyer unaniangusha,unataka utaratibu gani ufuatwe?wa mwaka 1947?siku hizi watu wanafahamiana juu kwa juu,wanaelewana huko huko,kisha WANAJUANA(unataka nikufafanulie maana ya neno hili?usije ukazimia ohooo),wakishajiona wa njia moja ndio wanakuja kwa wazazi

kwa hiyo kwa habari uliyotoa hapo juu,kama ni kitabu ndio kwanza dibaji,atakuja kujitambulisha ila sio leo wala kesho,kuwa mvumilivu fani yako ya uanasheria haina nafasi ktk masuala hayo ya mapenzi,watu wanawachezea mabinti wanasheria wenyewe wanapita na kutambaa sembuse mdogo wake mwanasheria!

tuliza munkari,hata sisi wengine tuliliaga kwa kujificha lakini moment tulipojua wadogo zetu wa kike nao wameanza mambo hayo!tena mwanaume ukiwaza unavyochezea vibinti vya watu na leo ni zamu ya mdogo wako inauma mbaya!
 
active men, afu anajichanganya shem mara dadake anafanye embass flani mara umri hauruhusu embass gani itaemploy under 18?

mwanasheria asojua sheria ya ajira,,,,mtu ni under 18 anamtangaza kaajiriwa,huyo ni mtoto hata kama kesho anafikisha 18 ila kwa leo bado ni mtoto hapasw kuajiriwa
 
Mr. Lawyer kinachokuuma ni huyo jamaa kutaka kumchezea au ni investment zilizofanywa na wazee kama kumsomesha, kumtafutia kazi? Linapokuja suala la mtu kuamua future yake, just give your opinions/advise to her and the final one should be upon her. Sasa unapoanza kutahamaki wakati dogo mwenyewe kakuheshimu hadi kukueleza inshu ambazo ni binafsi, lazima uheshimu kwanza feelings zake, then toa ushauri utakaomfanya dogo aendelee kukutegemea. Lakini pia, ungetafuta muda mzuri uongee na huyo jamaa wa cba ili mchakato ujulikane mapema na uwe wazi. Otherwise, uzi haujakaa vyema. Jumapili njema!!
 
Dogo nimeshampa vyake mkuu.

Na sasa ni zamu ya huyu bwana, halafu sio kwamba simfahamu, nina business card yake hapa.
for ze sake ov safety, hajaachiwa bizness card tu, kamchek na afya yake baada ya mwezi moja. teh kaka lawyer around ze buSH.
 
Back
Top Bottom