Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Kwa nini uwe na hofu kwa jambo usiloweza kulizuia?.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu wewe ni understanding sana aiseeee yaani umeongea kitu kizuri sana
Ukubwa baba
Haya mambo yapo tangu enzi
Kuna wazazi walikuwa hawakubali mtoto wa kike awe shule miaka 12 hapana
Wanamuozesha haraka
Hayo yalikuwq enzi zile ingawa mambo yamebadilika lakini wazee walikuwa wanauelewa sana

Siku hizi mtoto wa kike anasafiri peke yake anaenda mkoa wa mbali eti ana kazi πŸ˜„ sijui kazi gani mtajua nyie vijana
 
Atatukuta apa yudizim tunamsubiri
Wale maprofesa wakware wazee wasiokua na nguvu za kiume bado wapo hapo mlimani?
Bado wanakamata mabinti za watu?
Je wale walimu wa Masters wasio tulia ofisini na kuwaambia watoto wa kike waje Udasa bado wako?
Hebu niulizie kwa watu wa economics, profesa OSORO amestaafu au bado anafundisha? (Wanafunzi wake kibao walishastaafu)
 
Kuna vitu kwa watoto wa kike ni unkwepekable kabisa kufanyiwa au wao kuvifanya hasa wawapo huko chuoni...inahitaji akili ya ziada kujicontroll kwa mhusika na kuamua kufanya au kutokufanya ila asilimia kubwa ya madogo wa kike chuoni wana gongwa sana!

Wana MIKAZO ZEROO!
 
Shida wasichana wanashawishika kiulaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…