Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Nimehitimisha ✍️...... Kwa hizi comment bas mchumba wangu anachapwa Kama ngoma huko alipoπŸ˜”πŸ˜”

Na hesabu haipandi, juz ananiambia kasap..... Kuna mida nikawa napiga cm usiku hashikiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dah hii Dunia hii, na ndo mke mtarajiwaπŸ€”πŸ€”

(Note: Anasoma Diploma πŸ‘‰MUM
 
Pole
 
Mkuu niozeshe mie fasta mimba anaenda chuo na tunda tumboni hawezi kufanya uhuni . Nipe niwe shemejio
 
1: mnunulie iPhone latest kuanzia 13 pro max..aanze kuitumia sasa hivi aizoee apunguze shobo nayo, hapo utakuwa umepunguza kundi kubwa sana la vijana wahuni ambao wangemsumbua

2..andaa budget ya 5000 ya juu kila siku ukiachana na pesa ya bumu. Hapo ushawaweza wahuni wengi sana pia

3. Kama upo dsm hakikisha sehemu muhimu za vijana kama mcity, koko, na maeneo maeneo yote muhimu unaanza wewe kumtembeza kabla hajaenda chuo..
Itakusaidia sana.

4.Hakikisha unampa ukweli mapema sana yani mapema sana sasahivi juu ya maisha ya hayo maeneo.

5.Mtemgenezee mazingira boyfriend wake atakayekuwa naye chuo umjue. Kutana naye sometimes wakiwa wote na outing ndogo ndogo..hii itamfunga yeye na mtu atakaye kuwa anadate naye kisaikolojia atashindwa kuruka ruka.
 
Mwache mtoto akachapwe nao. Wewe si ulichapa watoto wa wenzio!? Na naombea apigwe mtungo wa nguvu na njemba 6 za Mabibo Hostel zenye mijorosho mikubwa. Kataa Ndoa, Umiza Mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…