binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ukisoma huu uzi utadhani wanachuo 24/7/30/365 wapo vifuani.Mbona mimi nimemaliza chuo sikuwahi gonga au kuwa na demu. Tatizo mnakuza mambo
Wanadamu wote wameumbiwa Hofu. Lakini sasa inakuja kuwa na utofauti katika viwango vya kuidhibiti (control) hofu yako.Kwa nini uwe na hofu kwa jambo usiloweza kulizuia?.
🔨🔨Vyuoni kuna vijana waliotulia vizuri tu
Akibadilika basi jua ndio tabia yake lilikua suala la muda tu.
Kama mkoa UNAO ishi kunachuo, asome hapo hapo tu, akiwa anatokea nyumbaniMaisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?
Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.
Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko it.
Wallah watambanduaMaisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?
Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.
Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Yeah. Ndo mana nimesema ni rahisi kuchunga kundi la ng'ombe kuliko mtu mmoja mwenye akili timamu.Kwanini haukumtengenezea mazingira ya kujichunga mwenyewe mpaka umchunge mtu mzima mwenye akili timamamu?
Size ya mtungi wa kg 6Kama ana
Chura ndo balaa
Mkuu, utakuwa bado huja-solve changamoto inayomkabili kwani hutakuwa naye ndani ya muda atakapokuwa njiani na atakapokuwepo huko chuoni.Kama mkoa UNAO ishi kunachuo, asome hapo hapo tu, akiwa anatokea nyumbani
😋vp kama wahenga ndo mashemeji
Hadi umri huo ulimkagua ukajua Yuko sealed? Huyo ni mwenyeji so acha kuhangaika na mambo yasiyo na msingiMaisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?
Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.
Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Mshauri tu azingatie Elimu ya Kujilinda(Kinga)..Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?
Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.
Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Unaweza kuwa sahihi kwa baadhi ya situation. Kwa kesi ya mleta mada ni ngumu sana kulithibiti hilo linalomtia hofu. Labda amfungie ndani asiende chuo wala asichangamane na jamii kabisa au ampe ushauri wa namna ya kwenda kuishi huko chuoni. Hilo la pili ni gumu kwani litafanikiwa kutokana na misingi ya malezi na makuzi ya mtoto, na si kwa nasaha na mikwara kibao. Ni kumuasa tu akafocus na kilichompeleka, awe na mpenzi mmoja mwaminifu na maisha yaendelee, hayo mengine hayazuiliki kamwe.Wanadamu wote wameumbiwa Hofu. Lakini sasa inakuja kuwa na utofauti katika viwango vya kuidhibiti (control) hofu yako.
Ni kweli katika jambo usiloweza kulizuia basi walau unaweza kujizatiti namna ya kukabiliana (mitigate) endapo litatokea kama matarajio yako yalivyo.
Kwa mfano; Je, likitokea uta deal na binti, uta deal na aliyehusika(kisababishi) au utakaa kimya?
Mwelekeze kila kitu bila kumwonea aibu wala kumficha.Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?
Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.
Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Uko sahihi kabisa mkuu; ila inakuja suala/hoja kwamba "mchuma janga hula na wa kwao" kwa vyovyote vile huyo kaka hatobaki salama bila kuhusika.Hadi umri huo ulimkagua ukajua Yuko sealed? Huyo ni mwenyeji so acha kuhangaika na mambo yasiyo na msingi