binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ukisoma huu uzi utadhani wanachuo 24/7/30/365 wapo vifuani.Mbona mimi nimemaliza chuo sikuwahi gonga au kuwa na demu. Tatizo mnakuza mambo
JF mambo yanakuzwa sana. BTW 18 years ni mtu mzima, aambiwe ABCD abaki kuchagua mwenyewe.