Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
- #21
Haki haipiganiwi Kwa mdomo wewe zinduka hii ni Africa na hapa ni tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣Kupigania haki ni kuwa kiherehere?
Wapigania haki et lazima wapotezwe?
Kuishi vizuri hapa Tanzania ni kutafuta hela, utawezaje kutafuta hela katika mazingira yasiyo ya haki?
Watekaji hawajatoa orodha wala sababu za utekaji so usiamini kuwa wewe uko salama kiasi hicho!
Ndiyo unaweza kuwa salama, Je, ndugu, jamaa, rafiki au familia yako!?
Kweli watu wamepoteza uwezo wa kufikiri.