Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
-
- #21
Haki haipiganiwi Kwa mdomo wewe zinduka hii ni Africa na hapa ni tanzania š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Kupigania haki ni kuwa kiherehere?
Wapigania haki et lazima wapotezwe?
Kuishi vizuri hapa Tanzania ni kutafuta hela, utawezaje kutafuta hela katika mazingira yasiyo ya haki?
Watekaji hawajatoa orodha wala sababu za utekaji so usiamini kuwa wewe uko salama kiasi hicho!
Ndiyo unaweza kuwa salama, Je, ndugu, jamaa, rafiki au familia yako!?
Kweli watu wamepoteza uwezo wa kufikiri.
Rejea post yako ndipo utagundua we ni mjinga.Macho Yako yanamatege weweš¤£š¤£š¤£š¤£
Macho Yako yana mategeeeeš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Rejea post yako ndipo utagundua we ni mjinga.
Rudi shule kitamzania ndio nini Binti au wewe ndio maiti maana hata nch9 Yako umeshindwa kuiandika š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Naomba kusema, tuna safari ndefu sana kama Taifa. Na huyu ndiyo mfano wa vijana wa Kitamzania tulionao. Kwanini Serikali isifanye kama inaongoza maiti.
Vijana wa hovyo au siyo šNaomba kusema, tuna safari ndefu sana kama Taifa. Na huyu ndiyo mfano wa vijana wa Kitamzania tulionao. Kwanini Serikali isifanye kama inaongoza maiti.
Akili kama hizi ni za Watu waliokata Tamaa, Mimi si mmoja waoTanzania hii ukiwa kiherehere kuingilia shughuli za watu lazima upotee. Kuna wale wanaojiita eti wanapigania haki hahahaha hivi haki inapiganiwa k.wa mdomo ndio maana mtaendelea kutupwa ufukweni sababu ni viherehere kuingiliwa mingo za watu ukitaka kuishi kwa amani hapa tanzania ni kutafuta hela na kuishi maisha yako usijiingize kwenye mambo yanaitwa siasa
Mdomo unaponza mwisho wa siku unakutwa pembeni ya ufukwe wa bahari.
Sasa utafanya vipi mambo yako huku unadaiiwa kodi lukuki?Tanzania hii ukiwa kiherehere kuingilia shughuli za watu lazima upotee. Kuna wale wanaojiita eti wanapigania haki hahahaha hivi haki inapiganiwa k.wa mdomo ndio maana mtaendelea kutupwa ufukweni sababu ni viherehere kuingiliwa mingo za watu ukitaka kuishi kwa amani hapa tanzania ni kutafuta hela na kuishi maisha yako usijiingize kwenye mambo yanaitwa siasa
Mdomo unaponza mwisho wa siku unakutwa pembeni ya ufukwe wa bahari.
Achana nae ni low minded baboonKupigania haki ni kuwa kiherehere?
Wapigania haki et lazima wapotezwe?
Kuishi vizuri hapa Tanzania ni kutafuta hela, utawezaje kutafuta hela katika mazingira yasiyo ya haki?
Watekaji hawajatoa orodha wala sababu za utekaji so usiamini kuwa wewe uko salama kiasi hicho!
Ndiyo unaweza kuwa salama, Je, ndugu, jamaa, rafiki au familia yako!?
Kweli watu wamepoteza uwezo wa kufikiri.
Hahahah mnasikitisha sana yaani kelele mnaishia jamii forum hahahahahahahahaAkili kama hizi ni za Watu waliokata Tamaa, Mimi si mmoja wao
Soma hapo kwenye red.Tanzania hii ukiwa kiherehere kuingilia shughuli za watu lazima upotee. Kuna wale wanaojiita eti wanapigania haki hahahaha hivi haki inapiganiwa k.wa mdomo ndio maana mtaendelea kutupwa ufukweni sababu ni viherehere kuingiliwa mingo za watu ukitaka kuishi kwa amani hapa tanzania ni kutafuta hela na kuishi maisha yako usijiingize kwenye mambo yanaitwa siasa
Mdomo unaponza mwisho wa siku unakutwa pembeni ya ufukwe wa bahari.
Mbona ameandika Tanzania tangu mwanzo mkuu!
Mungu ya asaidii waoga hata siku MojaUkikaa kimya wata kutapanda kichwani ...
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu..
Ndio products za CCM hizo. Nchi ikishakuwa na vilaza wengi uhakika wa kubaki madarakani unakuwepo.Sio tanzania ni Tanzania.
Hivi we shule ulienda kweli?
Elimu yako tu ya kuunga.
Pambana hivyo hivyo ila usiwe kiherehereSasa utafanya vipi mambo yako huku unadaiiwa kodi lukuki?
hujui ulichoandika ndugu, ingekua wewe ndio mama yako ama baba yako ameuliwa kikatili vile ndio akili yako ya makalioni ingekukaa sawa, wewe ni nani hata ufurahie wenzio wanaouawa?kuna kijikundi kinajiona kina haki hata ya kutoa uhai wa wengine.Mungu wako akupe akili ugundue kuwa wewe ni miongoni mwa mapoyoyo na mapunguani hapo Tanzania.Tanzania hii ukiwa kiherehere kuingilia shughuli za watu lazima upotee. Kuna wale wanaojiita eti wanapigania haki hahahaha hivi haki inapiganiwa k.wa mdomo ndio maana mtaendelea kutupwa ufukweni sababu ni viherehere kuingiliwa mingo za watu ukitaka kuishi kwa amani hapa tanzania ni kutafuta hela na kuishi maisha yako usijiingize kwenye mambo yanaitwa siasa
Mdomo unaponza mwisho wa siku unakutwa pembeni ya ufukwe wa bahari.
Nasikitika na wewe pia ni kilaza umeuhusu ccm kuwa madarakaniNdio products za CCM hizo. Nchi ikishakuwa na vilaza wengi uhakika wa kubaki madarakani unakuwepo.
Kupambana na hizo kodi ndio huko unakokuita kiherehere sasaPambana hivyo hivyo ila usiwe kiherehere