Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Huna akili, huwezi kuona ni spelling error hiyo. Wewe ndiyo unahitaji kurudi shule, ujielimishe. Haya unaitwa ukale ugali hapo kwa shemeji yako, chakula kimeiva. Ukishiba uje ujaze nyuzi zako za hovyo JF.Rudi shule kitamzania ndio nini Binti au wewe ndio maiti maana hata nch9 Yako umeshindwa kuiandika 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha na huu ndio ukweli ambao watanzania hawautaki sababu ni waoga kufa hatariiii🤣🤣🤣🤣🤣Haki inapiganiwa kwa vitendo na kuweka uoga pembeni kwa maandamano ya amani bila kuogopa chochote, sasa kama nimuoga wa kufanya vitendo ukategemea mdomo tu ni kweli utaumizwa maana wanafaham wewe ni coward ujasiri wako ni mtandaoni tu.
Ila wakikuona barabaran kwa kila ovu mnalofanyiwa hapo lazima wao ndo wawe waoga.
Uliwahi kumsikia Mzee Ally Kibao akipinga au kukubali hadharani?Haki haipiganiwi Kwa mdomo wewe zinduka hii ni Africa na hapa ni tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaha nimeshaenda kula vipi wewe bado hujala binti🤣🤣🤣🤣Huna akili, huwezi kuona ni spelling error hiyo. Wewe ndiyo unahitaji kurudi shule, ujielimishe. Haya unaitwa ukale ugali hapo kwa shemeji yako, chakula kimeiva. Ukishiba uje ujaze nyuzi zako za hovyo JF.
Hata Wewe pia ukiwa kiherehere utakutwa ufukweniUkiwa kwenye msiba usiokuhusu, unaweza pata jeuri ya kwenda dukani kununua karata ili mcheze msibani hapo kupoteza muda kwa ajili ya kusubiri mazishi ila ukiwa kwenye msiba unaokuhusu, hata muda wa kuoga huwa unapatikana kwa mbinde mnoo!
Ni mawazo yako pia, uhuru wa kujieleza umepewa na katiba ila jaribu kuvivaa viatu vya watu wa familia ya huyu bwana.
Kwani nimemtaja mtu hapa mbona unataka majina ya watu kulikoni🤣🤣🤣🤣Uliwahi kumsikia Mzee Ally Kibao akipinga au kukubali hadharani?
Kwanini ametekwa na kuuawa??
Kila machafuko unayoona huwa mambo hayaanzi ghafla, wananchi hawaanzi ku react suddenly, hata serikali nyingi duniani zilizopinduliwa ni baada ya wananchi kunyanyaswa kwa muda mrefu na kuchoka manyanyaso.Hahahah mnasikitisha sana yaani kelele mnaishia jamii forum hahahahahahahaha
Hahahaha nacheka sana yaani kumbe mnaota ndoto ya mchana eti muda ukifika litalipuka kweli watu mmedata🤣🤣🤣🤣🤣Kila machafuko unayoona huwa mambo hayaanzi ghafla, wananchi hawaanzi ku react suddenly, hata serikali nyingi duniani zilizopinduliwa ni baada ya wananchi kunyanyaswa kwa muda mrefu na kuchoka manyanyaso.
Ni time ticking bomb. Muda ukifika litalipuka.
Mbona kashafanya anachotaka miaka 60 na anaendelea kufanya analotaka na hamna mtalofanya hahahahaha 🤣🤣🤣🤣Kwahiyo kufanya siasa inchi hii ni uhaini, sio?
Mukitaka kutuua mutuue, lakini kamwe hatuwezi kumuachia nguruwe shamba la mihogo afanye anacho taka.
Una akili ndogo mno na nyie ndio mtaji wa LumumbaHata Wewe pia ukiwa kiherehere utakutwa ufukweni
Hahahaha Bora niwe MTAJI nafurahia maisha siwezi kutupwa ufukweni mileleUna akili ndogo mno na nyie ndio mtaji wa Lumumba
Ndugu unahangaika na Kifaa cha Mshale.Hivi unaelewa ni sehemu zipi unapaswa kuanza na herufi kubwa?
Ndio maana nakuambia shule huna, huwezi andika tanzania andika Tanzania.
Sawa hakuna shidaHahahah mnasikitisha sana yaani kelele mnaishia jamii forum hahahahahahahaha
Hahahaha hiyo ndio dawa ila ukijikuta kazi kupiga kelele hata mguu wa kuku huna utakutwa pori la katavi au ufukweni unaelea wavuvi wakuokoteKwa system ya Bongo jinsi ilivyo hutakiw kuongea ila kufanya matendo magumu tuu, tendo lenyewe ni kujitoa muhanga tuu kama alivyofanya Hamza kipindi kile sasa this time n kujilipua karibu na kiongozi anayezingua.
😥Hata hiyo njia ya maandamano ya Amani bado ni uoga tu. CCM ni li dude sio lakuonewa huruma tena na tena, Watu waingie msituni tu. Inasound kiujinga lakini ndio twende tu, Vinginevyo tuendelee tu.Haki inapiganiwa kwa vitendo na kuweka uoga pembeni kwa maandamano ya amani bila kuogopa chochote, sasa kama nimuoga wa kufanya vitendo ukategemea mdomo tu ni kweli utaumizwa maana wanafaham wewe ni coward ujasiri wako ni mtandaoni tu.
Ila wakiwaona barabaran kwa kila ovu mnalofanyiwa tena maandamano yasiyo na kikomo hapo lazima wao ndo wawe waoga.
Yaani hiyo ndio dawa pekee ila unajikuta mwanaharakati halafu hata mguu wa kuku huna lazima ukutwe pori la katavi au ufukweni unaelea kama samaki😥Hata hiyo njia ya maandamano ya Amani bado ni uoga tu. CCM ni li dude sio lakuonewa huruma tena na tena, Watu waingie msituni tu. Inasound kiujinga lakini ndio twende tu, Vinginevyo tuendelee tu.
R.I.P Dr Mvungi
Mwalimu Nyerere na babu zake mzee Mohamed Said Wangekua akili kama zako sijui ingekuajeTanzania hii ukiwa kiherehere kuingilia shughuli za watu lazima upotee. Kuna wale wanaojiita eti wanapigania haki hahahaha hivi haki inapiganiwa k.wa mdomo ndio maana mtaendelea kutupwa ufukweni sababu ni viherehere kuingiliwa mingo za watu ukitaka kuishi kwa amani hapa tanzania ni kutafuta hela na kuishi maisha yako usijiingize kwenye mambo yanaitwa siasa
Mdomo unaponza mwisho wa siku unakutwa pembeni ya ufukwe wa bahari.