Mdomo unaponza sana Tanzania, hii nchi haihitaji uwe kiherehere

Unafikiria ni sawa kuliwa kichwa ukiisema au kuikosoa serikali.

Unafikiri Nyerere na akina Mkwawa nk wangekaa kimya na kuendelea na mambo yao tungepata Uhuru leo hii?
 
Mwalimu Nyerere na babu zake mzee Mohamed Said Wangekua akili kama zako sijui ingekuaje
Fikra za hivi ni rahis sana kuupokea upinde na kuishi kwa kupindwa maisha yako yote
Pole sana naona unahasira ila lakufanya huna unabaki kulialia mtandaoni subiri utupwe ufukweni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unafikiria ni sawa kuliwa kichwa ukiisema au kuikosoa serikali.

Unafikiri Nyerere na akina Mkwawa nk wangekaa kimya na kuendelea na mambo yao tungepata Uhuru leo hii?
Hahahaha ikosoe uone kama hujatupwa katavi au ufukweni wavuvi wakuokote🤣🤣🤣🤣🤣
 
baeleze papaa,baambie!!!,,mimi mwenyewe sipendagi kufuatilia mambo ya wa2, ata nikikuta kichaka kinatikisika kwa wa2 kunyanduana mimi ata sipigi chabo naangalia mbali!!!
 
Ulisha sikia mtoto wa mwanasiasa yeyote anatukana viongozi au kuikashifu Serikali iliyopo madarakani?.
Siri ya nini cha kufanya kwenye siasa kiko hapo
Kweli kabisa mkuu. Huwezi kuta watoto wa wanasiasa wakubwa wa upinzani wanabwatuka hata watoto wa wanasiasa wa CCM huwa ni ngumu kukuta wanatukana wapinzani. Watoto wa wananchi wa kawaida ndo hutumika kwenye upuuzi.
 
Niwakumbushe tu mwaka 2150 hatutakuwepo hata mmoja...nyinyi endelezeni viburi
 
Nasty bwai unatakiwq ujue dunian tunapita tu unamuua mtu kesho wewe unakufa na homa ya nyani
Hahahaha kama tunapita mbona wewe bado unaishi hutaki kupita 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahahaha kama tunapita mbona wewe bado unaishi hutaki kupita 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unafurahia kuua watu ili waliokutuma waishi vizuri na familia zao, na kila siku wanaambia watoto wao wasome na pia wamuombe sana Mungu wasijekua kama wewe
 
Unafurahia kuua watu ili waliokutuma waishi vizuri na familia zao, na kila siku wanaambia watoto wao wasome na pia wamuombe sana Mungu wasijekua kama wewe
Swali langu Moja mbona wewe hutaki kupita kwenye hii dunia bado unaishi nijibu basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Watanzania wanataka maendeleo. Wanaongea sababu kuna mambo yanawavunja moyo sana, na yakisemwa wanaonekana ni maadui.
Tuache rushwa, matumizi mabaya ya madaraka na wizi wa mali ya umma.
Tujenge nchi yenye uimara. Kama haya hayafanyiki, watanzania hawa wapole, ipo siku watayakataa.
Majuto mjukuu waswahili wanasema
 
Maendeleo Gani hayo wanayataka?
 
Unataka kusema kuna henpgemony fulani ndiyo ya wanasiasa eeeh!...hatujafuka huko bado Broh!
 

Kwanini wewe unasema halafu hutaki wengine waseme? Kwasababu mdomo wake unatema mate ya dhahabu eeeh???
Ni kujidanganya sana ukifikiria kuwa kiongozi ndio umekuwa mmiliki wa watanzania. Watanzania wasioposema kuhusu yanayowahusu na yanayohusu nchi yao, nani mwingine atawasemea?
Kuna baadhi ya watu waliolewa madaraka, wangeweza, wangetuuza watanzania wote ili nchi iwe yao na maswahiba wao.
Inachekesha sana, kwa watu wenye fikra zilizodumaa kiasi hicho. Hata Hitler na gas chambers zake hakuweza kuwamaliza wayahudi. Nani atakayeweza kuwaziba mdomo wa Tanzania wanapoongea yanayohusu ncho yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…