S Sun is Sun JF-Expert Member Joined Mar 13, 2024 Posts 649 Reaction score 975 Sep 9, 2024 #81 Bantu Lady said: Huna akili, huwezi kuona ni spelling error hiyo. Wewe ndiyo unahitaji kurudi shule, ujielimishe. Haya unaitwa ukale ugali hapo kwa shemeji yako, chakula kimeiva. Ukishiba uje ujaze nyuzi zako za hovyo JF. Click to expand... Mama watoto ebu fungua PM..
Bantu Lady said: Huna akili, huwezi kuona ni spelling error hiyo. Wewe ndiyo unahitaji kurudi shule, ujielimishe. Haya unaitwa ukale ugali hapo kwa shemeji yako, chakula kimeiva. Ukishiba uje ujaze nyuzi zako za hovyo JF. Click to expand... Mama watoto ebu fungua PM..
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Sep 9, 2024 #82 Mkuu, kwa hiyo unashauri wanachi wakae kama ngombe zizini wanaosubiri zamu ya kiswagwa kwenda machinjioni? Kumbuka hawa ni binadamu. wana akili na utashi.
Mkuu, kwa hiyo unashauri wanachi wakae kama ngombe zizini wanaosubiri zamu ya kiswagwa kwenda machinjioni? Kumbuka hawa ni binadamu. wana akili na utashi.
naliwe JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 410 Reaction score 987 Sep 9, 2024 #83 TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: Hatutaacha kukemea na kukosoa. Watawala lazima wajifunze kuheshimu uhai wa watu Click to expand... wakati huo unatumia ID fake,
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: Hatutaacha kukemea na kukosoa. Watawala lazima wajifunze kuheshimu uhai wa watu Click to expand... wakati huo unatumia ID fake,
C Cyb JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 552 Reaction score 929 Sep 10, 2024 #84 Mr Money5 said: Swali langu Moja mbona wewe hutaki kupita kwenye hii dunia bado unaishi nijibu basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Watu mnaojaza maemoji mengi na kucheka cheka hamko serious na mna utoto mwingi bado.
Mr Money5 said: Swali langu Moja mbona wewe hutaki kupita kwenye hii dunia bado unaishi nijibu basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Watu mnaojaza maemoji mengi na kucheka cheka hamko serious na mna utoto mwingi bado.