Mdomo wa mtu wangu unanuka, namwambiaje?

Mdomo wa mtu wangu unanuka, namwambiaje?

Wahenga walisema, "ndege wafananao huruka pamoja".
 
Mdomo wako unanuka sana unajua hilo
 
Tatizo la kunuka mdomoni halitosis ni changamoto sana kwa wengi.

Azingatie afya ya kinywa kupiga mswaki kabla ya kulala iwe lazima.

Abadilishe miswaki

Asugue ulimi vizuri

Atumie visukutuo mouth wash kama Listerine mouth wash au hydrogen peroxide 3% au medioral mouth wash

Asitumie au apunguze matumizi ya vyakula vya sukari/vitamu vitamu

Atumie dawa za meno/ tooth paste zenye ubora.

Zaidi na zaidi amcheki daktari au mtaalamu wa kinywa na meno pamoja na sikio, pua na koo kwa ushauri na uchunguzi zaidi
 
C & P

Kumjulisha mtu kuhusu harufu mbaya ya mdomo ni jambo la hisia na linahitaji busara ili asijisikie vibaya. Hapa kuna mbinu kadhaa unazoweza kutumia:

1. Ulizia kuhusu Afya ya Kinywa kwa Ujumla
Unaweza kuanzisha mazungumzo kuhusu afya ya kinywa kwa ujumla, ukijumuisha usafi wa kinywa kama vile kupiga mswaki na kutumia dawa ya kusukutua. Unaweza kusema, "Nimeona dawa fulani ya kusukutua inasaidia sana kwa afya ya kinywa, unaweza kuijaribu kama unataka."


2. Toa Kinywaji cha Kusukutua au Pipermint kwa Ukarimu
Wakati mwingine, kumshirikisha mtu pipermint au kinywaji cha kusukutua inaweza kuwa njia ya moja kwa moja bila kuumiza hisia zake. Unaweza kusema, "Nina pipermint, unataka moja?" Hii inaweza kumfanya afikirie kuhusu harufu ya mdomo wake kwa upole.


3. Zungumzia Jinsi Harufu Mbaya ya Mdomo Inaweza Kuathiri Wengi
Unaweza kuanzisha mazungumzo kuhusu jinsi harufu ya mdomo ni suala linalowakumba watu wengi na si kitu cha kawaida. Unaweza kusema kitu kama, "Watu wengi wanapata harufu mbaya ya mdomo bila kujua; nimegundua vidokezo fulani vya kusaidia."


4. Shirikisha Uzoefu Wako
Kama una uzoefu na harufu ya mdomo au umewahi kupitia jambo kama hilo, unaweza kushiriki hadithi yako kwa njia ambayo itampa mshawisho wa kuchukua hatua. Unaweza kusema, "Kuna wakati niligundua kuwa mdomo wangu unanuka, nikaamua kutumia pipermint mara kwa mara."



Njia hizi zinaweza kusaidia kufikisha ujumbe bila kumuumiza mtu hisia zake.
Bro unatumia ChatGpt😃
 
Mmbo yanayosababishia.warembo kunuka midomo kwa sasa ni pamoja na;

1. Kunyonya uume (blowjob)
Mwambie aache blowjob na kama anakufanyia wewe basi jua wewe ndio chanzo cha yote.

2. Ulaji mbovu
Kuna mahali nilisoma wanasema ulaji mbovu unauwezo wa kusababisha.hiyo hali wanasema eti harufu inaweza ikatokea ndaani kabisa huko tumboni. Wanashauri kula matunda hasa nyakati za usiku na kunywa maji yakutosha pia.

3. Kutokusafisha kinywa kwa ustadi
Japo hili linasumbua sana watoto wadogo ila sio ajabu ukakuta.hata kwa watu wazima. Inashauriwa kusafisha ulimi na upande wa juu.wa mdomo.

4. Matumizi holela ya bidhaa za tumbaku
Hizi ni tatizo kama anatumia hizo ikiwa ni pamoja na shisha basi apunguze na azingatie usafi wa kinywa chake.

Mwisho niwape pole Mkuu.
 
Hi

Mtu wangu ananuka mdomo nashindwa mwambia kila nikikutana nae feeling zinakata kabisa nashindwa kumwambia nafanyaje?
Waweza kuwa Kila mkikutana unampatia kitu cha kutafuna kabla ya chochote itamsaidia kujitafakari, Ila kunawengine ni changamoto za kiafya 🤔🤔
 
Hi

Mtu wangu ananuka mdomo nashindwa mwambia kila nikikutana nae feeling zinakata kabisa nashindwa kumwambia nafanyaje?
Nunua dawa mshawishi aitumie kwa upole. Tafuta maneno mazuri mfano inaimarisha meno, kuzuia meno kutoboka n.k. Maisha haya hayataki stress
 
Wewe ndo unanuka mdomo sema unazunguuuka wadau chukueni hii mbinu ni mujarabu kabisa.Mwambie kuna jamaa nimekutana nae ameniambia nanuka mdomo ila ameniambia kuna dawa inabidi nitumie alafu unamwambia mbona wewe huniambii kwamba nanuka mdomo kisha mwambie kila mtu ampumulie mwenzake pumzi ili kupima alafu mwambie aanze yeye kukupumulia pumzi akishafanya hivyo na wewe fuata alafu muulize je nanuka kweli? lazima yeye atasema haunuki kuhusu yeye mwambie leo ndo kwa mara ya kwanza nakusikia unanuka mdomo kishenzi itakuwa nilikuambukiza alafu mtajie dawa ukijifanya hizo ndo zimekuponyesha.
 
Back
Top Bottom