Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wanawake nao wanaoa ?W sijamuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake nao wanaoa ?W sijamuoa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] baby unajua mdomo unanukagakaa nae, mwambie kwa kumuelewesha mtaftie dawa nzuri ya kinywa au mpeleke wa dentist huko nk...........
***** [emoji16][emoji16][emoji16]mpige plasta wakati wa tendo lamaisha na kulala apumulie pua pekee
Ikishindikana m-bugishe ukoko wa ugali hautakuja sikia mnuko huo
Fact mpwaC & P
Kumjulisha mtu kuhusu harufu mbaya ya mdomo ni jambo la hisia na linahitaji busara ili asijisikie vibaya. Hapa kuna mbinu kadhaa unazoweza kutumia:
1. Ulizia kuhusu Afya ya Kinywa kwa Ujumla
Unaweza kuanzisha mazungumzo kuhusu afya ya kinywa kwa ujumla, ukijumuisha usafi wa kinywa kama vile kupiga mswaki na kutumia dawa ya kusukutua. Unaweza kusema, "Nimeona dawa fulani ya kusukutua inasaidia sana kwa afya ya kinywa, unaweza kuijaribu kama unataka."
2. Toa Kinywaji cha Kusukutua au Pipermint kwa Ukarimu
Wakati mwingine, kumshirikisha mtu pipermint au kinywaji cha kusukutua inaweza kuwa njia ya moja kwa moja bila kuumiza hisia zake. Unaweza kusema, "Nina pipermint, unataka moja?" Hii inaweza kumfanya afikirie kuhusu harufu ya mdomo wake kwa upole.
3. Zungumzia Jinsi Harufu Mbaya ya Mdomo Inaweza Kuathiri Wengi
Unaweza kuanzisha mazungumzo kuhusu jinsi harufu ya mdomo ni suala linalowakumba watu wengi na si kitu cha kawaida. Unaweza kusema kitu kama, "Watu wengi wanapata harufu mbaya ya mdomo bila kujua; nimegundua vidokezo fulani vya kusaidia."
4. Shirikisha Uzoefu Wako
Kama una uzoefu na harufu ya mdomo au umewahi kupitia jambo kama hilo, unaweza kushiriki hadithi yako kwa njia ambayo itampa mshawisho wa kuchukua hatua. Unaweza kusema, "Kuna wakati niligundua kuwa mdomo wangu unanuka, nikaamua kutumia pipermint mara kwa mara."
Njia hizi zinaweza kusaidia kufikisha ujumbe bila kumuumiza mtu hisia zake.
🤣🤣🤣🙄🙄 Daaah aseeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] baby unajua mdomo unanukaga
nakutumia dawa kwa picha kama unaishi dar kazi unayo.Sawa
Hii ni njia nzuri. Ukishamweka kwenye hii angle basi hata kesho yake kama ataendelea kunuka inakuwa rahisi kumwambia ''na leo bado una ka-harufu japo kadogoo, ulitumia ile dawa kweli''. Kuanzia hapa itakuwa rahisi sana ku-control kwani anakuwa ameshajua tatizo.Wewe ndo unanuka mdomo sema unazunguuuka wadau chukueni hii mbinu ni mujarabu kabisa.Mwambie kuna jamaa nimekutana nae ameniambia nanuka mdomo ila ameniambia kuna dawa inabidi nitumie alafu unamwambia mbona wewe huniambii kwamba nanuka mdomo kisha mwambie kila mtu ampumulie mwenzake pumzi ili kupima alafu mwambie aanze yeye kukupumulia pumzi akishafanya hivyo na wewe fuata alafu muulize je nanuka kweli? lazima yeye atasema haunuki kuhusu yeye mwambie leo ndo kwa mara ya kwanza nakusikia unanuka mdomo kishenzi itakuwa nilikuambukiza alafu mtajie dawa ukijifanya hizo ndo zimekuponyesha.
AhhahhWaweza kuwa Kila mkikutana unampatia kitu cha kutafuna kabla ya chochote itamsaidia kujitafakari, Ila kunawengine ni changamoto za kiafya 🤔🤔
Acha tuAiseeeh
Ahahaha nikimkosaBi ashura
Dawa gani sasaNunua dawa mshawishi aitumie kwa upole. Tafuta maneno mazuri mfano inaimarisha meno, kuzuia meno kutoboka n.k. Maisha haya hayataki stress
Wewe unawezamwambie sasa nyie wapenz afu mnashindwa kuambiana?
How much nimnunulieUnashindwa kumwambia atumie " hydrogen peroxide mouth wash?"
Ahahaha KAZI IPOWewe ndo unanuka mdomo sema unazunguuuka wadau chukueni hii mbinu ni mujarabu kabisa.Mwambie kuna jamaa nimekutana nae ameniambia nanuka mdomo ila ameniambia kuna dawa inabidi nitumie alafu unamwambia mbona wewe huniambii kwamba nanuka mdomo kisha mwambie kila mtu ampumulie mwenzake pumzi ili kupima alafu mwambie aanze yeye kukupumulia pumzi akishafanya hivyo na wewe fuata alafu muulize je nanuka kweli? lazima yeye atasema haunuki kuhusu yeye mwambie leo ndo kwa mara ya kwanza nakusikia unanuka mdomo kishenzi itakuwa nilikuambukiza alafu mtajie dawa ukijifanya hizo ndo zimekuponyesha.
DuhKwa hiyo tukushauri ili mwendeleze uzinzi wenu!?
Angekuwa mumeo nigekushauri....
AhahahaMwambie mdogo wako unanuka.