Mdomo wa mtu wangu unanuka, namwambiaje?

Mdomo wa mtu wangu unanuka, namwambiaje?

Kwa uelewa wangu mdogo suala la kutoa harufu mbaya kinywani sio kwa ajili ya aina ya dawa Bali ni jinsi kupiga mswaki vizuri,nakumbuka Bi mkubwa miaka alinifundisha sana coz alikua ni mtaalamu wa kinywa na meno
Baadhi ya watu wanaweza kupiga mswaki vizuri na baada ya muda mdomo ukatoa harufu. Hii inatokea hasa mtu akikaa muda mrefu bila kula.
 
Mwambie kirafiki pia mwambie awe anasukutulia maji ya mdarasin na karafuu ndan ya wiki Kila anapo amka na anapo lala tatizo Ilo litaisha
 
Kwa uelewa wangu mdogo suala la kutoa harufu mbaya kinywani sio kwa ajili ya aina ya dawa Bali ni jinsi kupiga mswaki vizuri,nakumbuka Bi mkubwa miaka alinifundisha sana coz alikua ni mtaalamu wa kinywa na meno

Maza was partially correct. Bad breath, also known as halitosis, can have many causes, including: Gum disease, Poor oral hygiene, Dry mouth, Certain foods, medications, Tongue coating, Other medical conditions.

Inawezekana jamaa ana umwa or anything. Amuone dentist. Wabongo wekeni utaratibu wa kwenda kwa dentist at least twice a yr tena ni very cheap bongo.
 
Nitajaribu
Wakati mwingine huwa ni Ugonjwa, Nakushauri, Tafuta siku mtoke, mkaongee yenu, hakikisha anafuraha siku hiyo, then mkikaribia kuondoka kama.we ni Mwanamke mwambie mwanaume wako kwa Upole wa hali yajuu kuhusu tatizo lake, mshauri atumie Colgate, Asugue Ulimi wake vizuri, Mswaki uingie karibia na koo huko atakase, nje na ndani ya Meno asukutue na afanye hivyo Mara mbili kwa siku hautakaa Uskie tena, hata mimi nilikua na Rafiki sio Mpenzi nilimchana akanielewa akabadilkka sasaivi ana Harufu nzuri tu toka kinywani.mwake...
 
Mabwakuuu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hi

Mtu wangu ananuka mdomo nashindwa mwambia kila nikikutana nae feeling zinakata kabisa nashindwa kumwambia nafanyaje?
Mtu wako ndiyo nini, na wewe unaumba au unatengeneza marobot?
 
Back
Top Bottom