Mdomo wa mtu wangu unanuka, namwambiaje?

Fact mpwa
 
Hii ni njia nzuri. Ukishamweka kwenye hii angle basi hata kesho yake kama ataendelea kunuka inakuwa rahisi kumwambia ''na leo bado una ka-harufu japo kadogoo, ulitumia ile dawa kweli''. Kuanzia hapa itakuwa rahisi sana ku-control kwani anakuwa ameshajua tatizo.
 
Kwa uelewa wangu mdogo suala la kutoa harufu mbaya kinywani sio kwa ajili ya aina ya dawa Bali ni jinsi kupiga mswaki vizuri,nakumbuka Bi mkubwa miaka alinifundisha sana coz alikua ni mtaalamu wa kinywa na meno
 
Waweza kuwa Kila mkikutana unampatia kitu cha kutafuna kabla ya chochote itamsaidia kujitafakari, Ila kunawengine ni changamoto za kiafya 🤔🤔
Ahhahh
 
Ahahaha KAZI IPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…