Mdude adaiwa kuanika unyama aliofanyiwa na "Watekaji" wake

Mdude adaiwa kuanika unyama aliofanyiwa na "Watekaji" wake

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Hii MariaSpaces ni moto wa kuotea mbali, nilikua na usingiizi ila alipoanza kuongea Mdude ambaye ni muhanga wa "utekaji" usingizi ulikata. Nitajaribu kuweka Audio kama itakubali...

Kwa kifupi ni kwamba
1. Walimpigisha shoti ya umeme kwenye chuchu na sehemu ya haja kubwa Mara kadhaa

2. Kwamba alipigwa uume wake kwa chupa ya maji. Yaani inajazwa maji halafu unapigishwa kwenye uume

3. Kwamba alimuriwa kusali sala yake ya mwisho kabla ya $kupotezwa"
4. Kwamba mashahidi wake walitishwa na hivyo kuamua kutokutoa ushahidi
5. Kwamba aliumizwa sana kwenye nyayo zake kwa vipigo
6. Mengine utasikiliza

Naiombea Tanzania, sijui watesi wa Mdude ni akina nani na sitaki kuchukua upande wowote ila Mungu atusaidie.
 
Attachments

Kweli Mdude Chadema aliteswa sana na Magufuli na watu wake kwa kile anachoita ukosoaji.

Nilichokiona kwa Mdude hana lugha ya staha katika kukosoa huko. Maana hata aliposhinda kesi akatoa kauli ya kumnyoa Mama kwa wembe uleule aliomnyolea mtangulizi wake.

Ushauri:
Kama CDM ina viongozi wenye busara, basi mpumzisheni MDUDE apate tiba ya kisaikolojia kwanza
 
Ndugu yangu, nakusihi sana sana usiseme maneno ya dhihaka na kejeli. Huwezi kujua kesho yako, kumbuka dunia inazunguka!

We hujui tu kauli zake zilivo mbaya, eti utamnyoa??? president na tena mwanamke? yaani nadhan hao watekaji warudi kwake tena
 
Ccm wakishapokonywa dola ndio itakuwa mwisho wao hawatakaa warejee tena madarakani. Wanaamini kwamba vitendo kama hivi ndivyo vinaweza ikafanya wadumu madarakani. They must be very wrong.
 
Kweli Mdude Chadema aliteswa sana na Magufuli na watu wake kwa kile anachoita ukosoaji.

Nilichokiona kwa Mdude hana lugha ya staha katika kukosoa huko. Maana hata aliposhinda kesi akatoa kauli ya kumnyoa Mama kwa wembe uleule aliomnyolea mtangulizi wake.

Ushauri:
Kama CDM ina viongozi wenye busara, basi mpumzisheni MDUDE apate tiba ya kisaikolojia kwanza

..kwenye interview yake amezungumza kwa ufasaha na staha ya hali ya juu.

..Nilichogundua ni kwamba Mdude ni kijana jasiri na yuko very smart.
 
Back
Top Bottom