Mdude adaiwa kuanika unyama aliofanyiwa na "Watekaji" wake



Kitaani wanasema kwamba kati ya wahuni wakubwa basi wanaoongoza kwa uhuni na umafia ni polisi kwasababu ya utesaji wanaofanya ni zaidi ya mafia wa mtaani.
 
ule wembe kwan hana tena
Usidhihaki. Huwezi kujua, huenda kuna siku yako unasubiriwa na hayo maharamia.

Hivi unadhani hao makomandoo waliwahi hata kuota kuwa siku moja watateswa na polisi, na mmoja kuuawa na polisi?

Hawa majambazi huwezi kujua utakutana nayo wapi. Hata ukatii sheria zote, wakijua tu una hela, unaweza kuuawa, na ukasingiziwa ujambazi.

Kumbuka wale wafanyabiashara wa madini wa Morogoro, ambao baadhi walikuwa wachangiaji wazuri wa CCM, lakini waliishia kuuawa kinyama na haya makingai.
 
Kila mtu azungumze kwa lugha yake...

Hakuna lugha ya staha kwa shetani/lucifer...!!
 
Kweli Mdude Chadema aliteswa sana na Magufuli na watu wake kwa kile anachoita ukosoaji...
Kwenye siasa sometimes busara haihitajiki.... Akina Naoe wakidai hawapeleki marehemu Magogoni baada ya hapo wakazawadiwa Uwaziri. Msukuma akadai mgombea alijifanya nini Sjiui.... Akazawadiwa Ubunge.
 
Pole sana mdude. Wewe ni shujaa halisi wa mapambano ya democrasia , Wala Hauna maneno makali kama wanzavyo dai mataga wachumia tumbo wasio na uchungu na nchi hii.
 
Kuteka,kutesa na kuua wakosoaji ,wapinzani au wasiokubaliana nao ni sera ya CCM, mamtu ya ovyo kuliko wakoloni na tangu uhuru hakuna maendeleo yeyote zaidi ya umaskini uliokithiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…