Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Alichondika Mdude kwenye ukurasa wa twitter.
"Moja ya mapungufu ya katiba iliyopo ni kwamba, mtu kutokea Bara-Tanganyika hawezi kuwa mkuu wa wilaya Zanzibar lakini mtu kutokea Zanzibar anaweza kuwa mkuu wa wilaya Bara. Sasa huu ni muungano wa namna gani? Ndio maana tunahitaji #KatibaMpya kuondoa ubaguzi wa namna hii."