peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Basic compulsory equipment*(page no.24 of FIFA laws of the game).Jaribu kutofautisha masuala binafsi ya Mtu na ya taasisi, halafu pitia sheria za FIFA ,nchi au clabu inafungiwa ikijihusisha na masuala yapi .
CCM ni Chama Cha MataahiraNa ndio ukweli ukiona kijana anajiunga vyama vingine lazima ushangae
Kwa uelewa wako hicho kifungu ndio kitasababisha simba ifungiwe, rudi tena shuleniBasic compulsory equipment*(page no.24 of FIFA laws of the game).
The basic compulsory equipment must not have any political, religious or personal slogans, statements or images.
The team of a player whose basic compulsory equipment has political, religious or personal slogans or, statements or images will be sanctioned by the competition organiser or by FIFA.(page no.24).
Ukweli mtupuMsemaji mkuu wa Simba mh Ahmed Ally amewataka Vijana wote nchini kujiunga UVCCM
Ahmed Ally amesema Vijana waliojiunga UVCCM watembee Vifua mbele kwa kufanya Maamuzi sahihi kabisa Kwenye maisha yao
Source: Wasafi media
Nyie ni wale Maiti Jomo Kenyata alisema, mnatetea ujinga.CHADEMA wana matatizo ya akili kwa sasa. Tuwasamehe tu kwasababu wanapitia wakati mgumu mno. Jana walikuwa wanagombana baada ya baadhi yao kutafuna hela za michango ya kumtibu Sativa.
Kama lipi Hilo serious.Chadema kwenye serious issues zinazogusa mustakabali wa nchi hutawakuta.
Ila mambo ya kijinga kama haya wanayashikia bango.
Upinzani tulionao ni wa hovyo tu.
Mfano serious issue ipi?Chadema kwenye serious issues zinazogusa mustakabali wa nchi hutawakuta.
Ila mambo ya kijinga kama haya wanayashikia bango.
Upinzani tulionao ni wa hovyo tu.
Zote.Mfano serious issue ipi?
Kwani uchaguzi si WA nchi? Mama ni Raisi WA wote sio wa chama chochoteMdude yupo sawa!
Walichofanya Simba lazima kingetokea tu, sababu haya mambo yalianza mwaka jana kusifia hovyo kisa hela za bao la mama, ilikua ni suala la muda timu hizi za jangwani kuingia kwenye 18 za Cdm
Simba pole yao wanaenda kua mfano!
Nawe unaamini kuwa CHADEMA watafanikiwa???Mdude yupo sawa!
Walichofanya Simba lazima kingetokea tu, sababu haya mambo yalianza mwaka jana kusifia hovyo kisa hela za bao la mama, ilikua ni suala la muda timu hizi za jangwani kuingia kwenye 18 za Cdm
Simba pole yao wanaenda kua mfano!
Na simba wakimkana ahmed ally kuwa aliongea kwa matashi na maslahi binafsi na si maoni au mapendekezo ya timu kwa mashabiki wake CHADEMA watapungua credit kwa maana wataonekana wamepanic kwanza kabla ya kutumia akili kufikiri the aftermath ya claims zao dhidi ya Taifa na Simba SC.
Halafu unaanzaje kuishitaki simba FIFA wakati kuna TFF na CAF ambao wanaweza kufanya majukumu ya FIFA kwa niaba........!!!
ila hasira hasara, mdude ameandika watapeleka mashitaka dhidi ya Taifa na Simba, nani kakosea ni TFF, Simba au Ahmed Ally,,,,,,????
Ahmed hakwenda Kama mwakilishi wa Simba,Bali kaenda Kama yeye, acheni ujingaMdude yupo sawa!
Walichofanya Simba lazima kingetokea tu, sababu haya mambo yalianza mwaka jana kusifia hovyo kisa hela za bao la mama, ilikua ni suala la muda timu hizi za jangwani kuingia kwenye 18 za Cdm
Simba pole yao wanaenda kua mfano!