Naunga mkono hoja kisasi ni lazima,hata kuwaumizia familia zao ili nao wapate maumivu,wenye nyumba wanaowapangisha polisi wawafukuzeHivi hao polisi kwani wanaishi wapi?
Kama wanaishi humu humu uraiani basi wananchi sasa nao inabidi waanze kuwawinda na kuwafanyia mbaya.
Hata ikibidi kuwawekea sumu kwenye vinywaji au vyakula, poa tu.
Ikibidi kuwawinda na kuwanyatia na kuwapiga mishale, mapanga, marungu, nayo poa tu.
Watu watakuwa wanyonge mpaka lini?
Jeshi-la-Polisi-hawana-tofauti-na-vibaka.Usiku huu, ndugu yetu @mdudenyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Most probably, he is dead now. Mungu kama bado epushaThis time, sijui🤭
Hii mbona kama inataka kuchafua taswila nzuri ya nchi yetu,au kuna watu wanataka kumuharibia Rais ...siamini haya kama anabariki mh Rais wetu.Usiku huu, ndugu yetu @mdudenyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Kina nani hao!Hawa watu drama zao zitawagharimu
Huyo Mdude na wengine ndio wanafanya serikali iwajibike na wewe na watoto wako muone walau kuna mambo serikali inafanya.Mdude sio mkosoaji ni mjinga flan tu asiejielewam mwenyekiti wake maana huwa anaongea as if mdomo na ubongo vimetengana so lazima wamsynchronize. Unaona watu wana silaha na gwanda za polisi wamekuja kukukamata then unaanza kupambana nao. Wao wanaruhusiwaukugonga ukizubaa unavunjwa viungo. Anachokipata ni haki yake
acha unafiki, mpaka sasa as we speak now hajatoa tamko lolote hata la pole kwa Kitima/TEC! Unaelewaje katika situation kama hii..Hii mbona kama inataka kuchafua taswila nzuri ya nchi yetu,au kuna watu wanataka kumuharibia Rais ...siamini haya kama anabariki mh Rais wetu.
Hana akiliMdude hakutakiwa kuishi namna hii, bila ulinzi, bila tahadhari yeyote na bila back-up. Mdude amekuwa target kwa siku nyingi na cold-blood murderers.
CHADEMA wanatakiwa waanzishe na kuimarisha mkakati wa kulinda watu wao, waandae mkakati wa tahadhari. Ukishakuwa mkosoaji kwa utawala kama wetu unakuwa haupo salama.
Tutaona mwisho wakeMdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu. Walikuwa na silaha, wamevunja mlango. Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwakwe Mbeya.
Na kama Lissu kule jęła kama hajawekewa polonium Mungu epusha! Maana watatoa uongo na watu wataamini.Most probably, he is dead now. Mungu kama bado epusha
Sasa wenye silaha ni kina nani?Unaposema amekamatwa ina maana unajua ni polisi, au ??