PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi hao polisi kwani wanaishi wapi?

Kama wanaishi humu humu uraiani basi wananchi sasa nao inabidi waanze kuwawinda na kuwafanyia mbaya.

Hata ikibidi kuwawekea sumu kwenye vinywaji au vyakula, poa tu.

Ikibidi kuwawinda na kuwanyatia na kuwapiga mishale, mapanga, marungu, nayo poa tu.

Watu watakuwa wanyonge mpaka lini?
Ni suala tu la muda. Ingawa kwa upande wangu sitamani kabisa kuona tunafikia huku kama jamii iliyojengwa kwenye misingi ya undugu.
 
Mdude akitoka salama ndugu na maradiki zake mwambieni akimbilie ubalozi wa Kanada wampe haki ya Ukimbizi:

La sivyo watampoteza ndugu yao
Sidhani kama atatoka salama this time! Ila nae ni kama hana akili ,ayo unayomshauri ilitakiwa ayafanye siku nyingi ..au alihisi Wanamuogopa,ahahaha
 
Usiku huu, ndugu yetu @mdudenyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Hatari.sana hii dunia
 
Na kama Lissu kule jęła kama hajawekewa polonium Mungu epusha! Maana watatoa uongo na watu wataamini.

CCM imefikia kilele cha kufa. Ikishindwa uchaguzi itasambaratika, na ndiyo sasa
Exactly, polonium kills slowly.....

Polonium-210: Why is Po-210 so dangerous?​

Polonium-210 is the deadly poison that was used to kill the former Russian spy, Alexander Litvinenko, in London in 2006. He died of radiation sickness.
 
Nyie mnasema sana ,kwa Tanzania ilipofikia ni wakati kila mtu kutembea na pistol ,kiunoni iwe umeipata kihalali au umeikota ,huwezi japo kisu ,wamasai halisi hakosi sime anapotembea ,mnawaona washamba ila ni ulinzi tosha ,anaemkabili ajipange kivita kimapigano na sio unachukuliwa kama embe chini ya muembe.
Wanagonga au kuvunja mlango wanakukuta liwalo na liwe.
Hivi yule Traore mnamuona mjinga anapotembea na pistol ? Itafute hii kitu kisheria tu ,ila uhakikishe hakuna mtu anajua kama unamiliki wala hutakiwi kuionyesha onyesha ,ila kama mtajifanya mko imara na magwanda yenu ya mgambo mtachukuliwa kama senene.

View attachment 3322249View attachment 3322250
Utaua wangapi? Na baada ya kuua utakabiliwa na murder case
 
Rais alikuwa bize na may mosi...atatoa pole tu mkuu!!
sidhani kama alikuwa busy ...hafanyi yeye kuna watu wanakazi ya kufanya hayo..wanauwezo wa kuandika kwenye akaunti zake za mitandao, I guess!
 
Mtume (SAW) alieleza kisa cha mtu atakayefilisika Siku ya Kiyama (al-Muflis):

“Je, mnajua muflis ni nani?”
Maswahaba wakajibu: “Ni yule asiye na mali wala vitu.”
Mtume akasema:
“Muflis katika umma wangu ni mtu atakayekuja Siku ya Kiyama na swala, funga, na zaka, lakini atakuwa amemtukana huyu, amemvunjia heshima yule, amemwibia huyu, na kumwaga damu ya huyu... Atapewa dhambi za wale aliowadhulumu, hadi atupwe Motoni.”
— [Sahih Muslim, 2581]
 
Usiku huu, ndugu yetu @mdudenyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Amezidi matusi
 
Mdude alishapata taarifa kwamba kuna watu wanatafuta anapoishi na walikuwa tayari kumpa mmoja wa makada wa CDM pesa ili awaonyeshe anapoishi lakini kada huyo alikataa na kuwachenga hao watu.

Inashangaza saa kuina kwamba alikuwa na hii taarifa na bado aliweza kulala hapo nyumbani kwake. Hao washenzi wamedhamiria kuwamaliza vijana wa upinzani this time.

Wawe makini sana tuombee apatikqne salama.
 
Inaumiza sana yaani mtu anachukuliwa nyumbani kwake kirahisi kabisa anapigwa kwani kama sheria imevunjwa na mtu husika si afikishwe mahakamani kuna ulazima gani wa kuumiza watu kwa namna hii?
 
Inaumiza sana yaani mtu anachukuliwa nyumbani kwake kirahisi kabisa anapigwa kwani kama sheria imevunjwa na mtu husika si afikishwe mahakamani kuna ulazima gani wa kuumiza watu kwa namna hii?
Hi hali Sasa inatisha, kama inazoeleka vile, Mungu aingilie kati
 
Back
Top Bottom