PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mdude hakutakiwa kuishi namna hii, bila ulinzi, bila tahadhari yeyote na bila back-up. Mdude amekuwa target kwa siku nyingi na cold-blood murderers.
CHADEMA wanatakiwa waanzishe na kuimarisha mkakati wa kulinda watu wao, waandae mkakati wa tahadhari. Ukishakuwa mkosoaji kwa utawala kama wetu unakuwa haupo salama.
Idea safi sana hii.
Vikundi vya kujilinda virejeshwe haraka.
Sasa ikiwa mwamposa au mpuuzi kama zumaridi wana walinzi wa kuwalinda karibu [email protected] hawashei interest yeyote na Serikali au bepari yeyote lakini wameona kuna haja hiyo.
 
Inashangaza sana pamoja na matishio yote na historia yake huyu jamaa hakufunga hata camera za siri au za wazi nyumbani kwake? Gps trackers, virecord sauti ambavyo kwa sasa vinapatikana vya kila namna. Angalau kupatikanage hata clue tu inapotekea tukio. Na inasemekana ni mtu wa tech? Bado tuna masikhara sana na maisha yetu wakati nchi ishakua inaenda kwa rule of the jungle! Tuamke wandugu hamna aliye salama, jilinde mwenyewe kabla hujaomba msaada popote ulipo.
🤔 ✍️👍🤝🙏
 
Mtume (SAW) alieleza kisa cha mtu atakayefilisika Siku ya Kiyama (al-Muflis):

Maswahaba wakajibu: “Ni yule asiye na mali wala vitu.”
Mtume akasema:
“Muflis katika umma wangu ni mtu atakayekuja Siku ya Kiyama na swala, funga, na zaka, lakini atakuwa amemtukana huyu, amemvunjia heshima yule, amemwibia huyu, na kumwaga damu ya huyu... Atapewa dhambi za wale aliowadhulumu, hadi atupwe Motoni.”
— [Sahih Muslim, 2581]
chiembe na ChoiceVariable watapata hizo dhambi
 
Yaani police wanavunja mpaka milango. Hii nchi sijui inaelekea wapi...!? Halafu kuna watu wanazungumxia amani ... hivi ni amani gani hiyo? Nchi ina amani lakini raia wake hawana amani....!!
Hapa kwa po-li-ce hapa kuna tatizo la kiwango cha elimu dunia, majority n form 4 failures. ,huwezi tenganisha elimu yao na maamuzi ya hovyo wanayofanya. Nilikua nawaza kwa sauti kwa nn kiwango cha elimu au kigezo mojawapo chs kujiunga na hili jeshi ianzie na elimu ya Diploma na kuendelea.
 
Nyie mnasema sana ,kwa Tanzania ilipofikia ni wakati kila mtu kutembea na pistol ,kiunoni iwe umeipata kihalali au umeikota ,huwezi japo kisu ,wamasai halisi hakosi sime anapotembea ,mnawaona washamba ila ni ulinzi tosha ,anaemkabili ajipange kivita kimapigano na sio unachukuliwa kama embe chini ya muembe.
Wanagonga au kuvunja mlango wanakukuta liwalo na liwe.
Hivi yule Traore mnamuona mjinga anapotembea na pistol ? Itafute hii kitu kisheria tu ,ila uhakikishe hakuna mtu anajua kama unamiliki wala hutakiwi kuionyesha onyesha ,ila kama mtajifanya mko imara na magwanda yenu ya mgambo mtachukuliwa kama senene.

View attachment 3322249View attachment 3322250
🤔🤔🤔
 
Hapa kwa police hapa Mimi nahisi la elimu, ukiangalia viwango vya elimu dunia ya Hawa ndugu zetu plc, huwezi tenganisha na maamuzi ya hovyo wanayofanya. Nilitamani kuwe na kiwango cha juu mfano Diploma na kuendelea kwa mtu kuwa police.

Siyo elimu tu. Hawa wa kwetu wametumwa kufanya hivyo. Hao akina Murilo ni Wanasheria. Hata huko majuu milango huwa inavunjwa. Lakini huwa wanafanya hivyo kukiwa na kosa tena kubwa ambalo linahstarisha usalama. Kwetu wanafanya kwa kutisha raia.
 
Mtume (SAW) alieleza kisa cha mtu atakayefilisika Siku ya Kiyama (al-Muflis):

Maswahaba wakajibu: “Ni yule asiye na mali wala vitu.”
Mtume akasema:
“Muflis katika umma wangu ni mtu atakayekuja Siku ya Kiyama na swala, funga, na zaka, lakini atakuwa amemtukana huyu, amemvunjia heshima yule, amemwibia huyu, na kumwaga damu ya huyu... Atapewa dhambi za wale aliowadhulumu, hadi atupwe Motoni.”
— [Sahih Muslim, 2581]
🙋✍️🎯👊👌🤝🙏
 
I love this citation
 
Back
Top Bottom