PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna Tajiri mmoja wa mabasi ya Mwanza-Tarime-Sirari (border) anaitwa Zakaria.....sasa huyu jamaa aliwahi kufatwa na wasiojulikana wakimtaka aingie kibabe kwenye gari waliyokuja nayo.......aaaah! Lizee likaona isiwe case likamlamba shaba mmoja wao, hapohapo chini........Kujilinda sio hadi usubiri upewe hisani.

Mawazo mbadala kiafrika-kiafrika kunatafsiriwa kuwa ni Ant-government, ni uasi..
Viongozi wa upinzani wa ngazi ya juu wafikirie kutoishi kimtawanyiko sana hasa vipindi vya uchaguzi...

Sasa mtu amesha-declare wazi kuwa hashiriki uchaguzi, wala hagombei, anakuwaje threat kwa Serikali?......

mtu hana hata Mgambo, achilia mbali majeshi....anakuwaje tishio? Hadi ukamvamie, ukampige, umdhuru, umweke kizuizini bila mashtaka...akili za ajabu sana.
 
Hawa mnaowafanyia hivi siku wakichoka na wao kuamua kulipa kisasi au kuchukua hatua kama hizi itakuwa kazi ngumu sana kurudi kwenye utulivu.

Paka ukimfungia mlango akakosa pakutokea, option pekee iliyobaki ni kupambana na wewe.
 
Hivi hao polisi kwani wanaishi wapi?

Kama wanaishi humu humu uraiani basi wananchi sasa nao inabidi waanze kuwawinda na kuwafanyia mbaya.

Hata ikibidi kuwawekea sumu kwenye vinywaji au vyakula, poa tu.

Ikibidi kuwawinda na kuwanyatia na kuwapiga mishale, mapanga, marungu, nayo poa tu.

Watu watakuwa wanyonge mpaka lini?
Hii nimeipenda,tuwamalize tu hawa
 
Moja ya kazi ya watu wa usalama ni kufanya assessment ya matukio yao na kuyapima.
Option ya kuteka, kuua, kuumiza watu na kuwatisha hii ni mbinu ya kizamani sana na inadhihirisha aina ya mifumo yetu ilivyo.

Moja ya mbinu ya kisasa ni kuwapa watu maisha mazuri kwa kuboresha maisha yao, hii inapunguza idadi ya wakosoaji maana watu wanakuwa wanafurahia maisha.
Mbinu nyingine ni kuwafanya watu wasome sana ili Kila mahala kuwe na wasomi ambao mara nyingi watabishana kwa hoja na kutumia mbinu za kiscience kutatua matatizo, maana yake watu wetu wangekuwa wamesoma na vizuri wangetumia mbinu za kiscience kupambana na CDM na sio mitulinga.
 
Hivi wauaji wanajua maumivu ya watu waliopotelewa na ndugu zao?wakiamua kulipa kisasi? wataua wangapi?imagine huyo mdude Ni ndugu yako wa karibu!!
 
acha unafiki, mpaka sasa as we speak now hajatoa tamko lolote hata la pole kwa Kitima/TEC! Unaelewaje katika situation kama hii..
Atoe pole ya nini kwa mlevi alieanguka chooni kwa kuendekeza pombe?
 
Usiku huu, ndugu yetu @mdudenyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.😡😡😡
Hivi Mdude:-
1. Ni Mtanzania kweli?
2. Anao ndugu zake hapa?
3. Anayo familia? (Mke na watoto)
4. Anapataje kipato chake?
 
Hivi hao polisi kwani wanaishi wapi?

Kama wanaishi humu humu uraiani basi wananchi sasa nao inabidi waanze kuwawinda na kuwafanyia mbaya.

Hata ikibidi kuwawekea sumu kwenye vinywaji au vyakula, poa tu.

Ikibidi kuwawinda na kuwanyatia na kuwapiga mishale, mapanga, marungu, nayo poa tu.

Watu watakuwa wanyonge mpaka lini?
Au sio, unaishi wapi kijana?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
utakuwa police wewe tena std seven failure
Mshauri Padre wako aache ulevi na uongo, kaanguka chooni kwasababu ya ulevi kupindukia ili kuficha aibu anasingizia kashambuliwa
 
Mdude sio mkosoaji ni mjinga flan tu asiejielewam mwenyekiti wake maana huwa anaongea as if mdomo na ubongo vimetengana so lazima wamsynchronize. Unaona watu wana silaha na gwanda za polisi wamekuja kukukamata then unaanza kupambana nao. Wao wanaruhusiwaukugonga ukizubaa unavunjwa viungo. Anachokipata ni haki yake
Huko kwenu polisi wana mandate ya kuvunja milango ya raia, kuingia ndani ya nyumba na kupiga kama mbwa? Hivi nyie ni watanzania wenzetu? Anyway, watanzania wengi tuna iq ndogo sana.
 
Back
Top Bottom