PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii mbona kama inataka kuchafua taswila nzuri ya nchi yetu,au kuna watu wanataka kumuharibia Rais ...siamini haya kama anabariki mh Rais wetu.
Padri Slaa alishasema ndani ya CDM kuna kikosi cha utekaji
 
Hivi polisi kumkamata mtu ni lazima kumpiga? Hii ni sheria ya wapi?
Kwa nini utaratibu mbovu huu ndio sasa uzoelekee na kukubaliwa kama ni kawaida ya polisi kufanya kazi?
Una uhakika ni polisi?
 
Hii mbona kama inataka kuchafua taswila nzuri ya nchi yetu,au kuna watu wanataka kumuharibia Rais ...siamini haya kama anabariki mh Rais wetu.
Samia anabariki, ingekuwa habariki angekuwa ameshayakemea haya lkn yeye kiti cha urais analeta ngojera za kike kike na kizanzibari "kifo ni kifo tu"
 
Nadhani ni kakikundi tu la UVsisi
Hapana. Padri Slaa alisema ndani ya CDM kuna kikundi cha utekaji. Hakuitaja UVccm hapo. Kumbuka Padri Slaa alikuwa ndiye Katibu Mkuu wa CDM. Nani awezaye kuijua CDM kukiko Padri Slaa.
 
Kwa damu hiyo tuliyoiona sijui kama kuna uhai hapo daa,
Binadamu tumefikia ukatili wa namna hii.

Hata kama ni mkosoaji kwanini asifunguliwe mashtaka na hukumu ionekane
Kweli siasa za nchi masikini bora ukae nazo mbali tu
 
Mdude mbona huwa hajihami na angali anajua ni mkosoaji mkubwa wa watu wenye hila...
 
kwani unadhani hawawajui wenye nazo?
Wanawajua ,maana hata wamasai tunawajua ,hata wapemba tunawajua ,wamasai sime wapemba visu , ila sio wote na ukiwa nayo kihalali watakujia kwa heshima au hata kukuvizia ,tunakumbuka Yule CCM Waziri alitolewa bastola mwanzo ikasemwa Makonda anahusika ,ila watu wanavunja mlango umo ndani na una mguu wa kuku , siku nyigine watakuja na mwenyekiti wa kijiji na hati ya kukukamatia , msifikiri na wao hawaogopi kufa ,maana maisha matamu hata kama wamekula msuba bado wanajua ama zao ama za wanaemkamata ,

Yemen watu mbona wanahishimiana kule sio pistol wanamiliki SMG na risasi zinauzwa sokoni , na hawafichi waziwazi wanatembea nazo ,na polisi wapo na wanakamata ila hufuata taratibu zote za kisheria . SIo hapa kwetu polisi hata likiwa goigoi hapa Tz linaonekana shujaa.

Unajua Tanzania huhitaji kuwa na silaha ya kujilinda ila kwa hali ilivyo sasa na hii tabia ya uchukuliwaji kiholela na hii jamii ya WATU WASIOJULINA walioivamia Tanzania ,hata sijui Jeshi letu la wananchi lipo wapi inawezekana hawajapata habari kuwa tumevamiwa.

Sokoni Yemeni huuilizwi ruhusa wala kibali unahitaji kujiarm na kujilinda na wasiojulikana ,usisubiri kuokotwa.
1746164735313.png
 
Back
Top Bottom