PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu hata mimi ningemteka halafu nimchape nao sana...yaani fimbo nyingiiiii,ANAHARIBU SANA KISWAHILI! 🤨
 
Fr. Kitima kavamiwa ndani ya ulinzi mkali wa CCTV.
CCTV siyo ulinzi
Closed Circuit Television yaani mfumo unao ona matukio ulipoelekeza kuona

Waliofunga huo mfumo hawana akili

No alert system and detectors
 
akili na mwili vinapokosa ushirikiano tegemea kushirikishwa....wacha wamshirikishe kidogo😁!
 
Hii mbona kama inataka kuchafua taswila nzuri ya nchi yetu,au kuna watu wanataka kumuharibia Rais ...siamini haya kama anabariki mh Rais wetu.
Unalosema inawezakana ni kweli, kuwa yeye hatambui chochote kuhusiana na matukio haya matukio kabla hayajafanyika. Ila kitendo cha yeye kutokuchukua hatua yoyote hata kukemea kunatoa tafsiri kwamba yeye ni moja ya wahusika ya uharamia huu.

Kama ambavyo watu walimsema magufuli kuwa yeye ndiye muhusika wa moja kwa moja na matukio mengi ya utekaji na mauji ya watu hususani wakosoaji wa serikali kwa sababu alikuwa hachukui hatua yoyote ile, hivyo basi mantiki ile ile tutaitumia kuhitimisha kuwa samia ndio muhusika wa matukio yote haya ya kikatili wanayofanyiwq wapinzani na vyombo vya dola... hata kama yeye binafsi hajabariki matukio haya.
 
Mdude sio mkosoaji ni mjinga flan tu asiejielewam mwenyekiti wake maana huwa anaongea as if mdomo na ubongo vimetengana so lazima wamsynchronize. Unaona watu wana silaha na gwanda za polisi wamekuja kukukamata then unaanza kupambana nao. Wao wanaruhusiwaukugonga ukizubaa unavunjwa viungo. Anachokipata ni haki yake
sio mjinga...wajinga huerevuka! tutumie lile neno jingine, ni PUMBUMBU tu
 
Katika nchi watu wanatofautiana tabia:
Huwezi kuwalazimisha watu wote wawe na tabia unazozipenda wewe:
Kwakuwa hata wewe una tabia ambazo wengine hawazipendi:
wanalazimisha vitu haviwezekani...mimi mlevi hawezi niambia kitu nikamuelewa hata kama ni BABA YANGU😁
 
Back
Top Bottom