PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Pole kwake na kwa familia yake.
 
Naunga mkono hoja kisasi ni lazima,hata kuwaumizia familia zao ili nao wapate maumivu,wenye nyumba wanaowapangisha polisi wawafukuze
 
Jeshi-la-Polisi-hawana-tofauti-na-vibaka.
 
Nyie mnasema sana ,kwa Tanzania ilipofikia ni wakati kila mtu kutembea na pistol ,kiunoni iwe umeipata kihalali au umeikota ,huwezi japo kisu ,wamasai halisi hakosi sime anapotembea ,mnawaona washamba ila ni ulinzi tosha ,anaemkabili ajipange kivita kimapigano na sio unachukuliwa kama embe chini ya muembe.
Wanagonga au kuvunja mlango wanakukuta liwalo na liwe.
Hivi yule Traore mnamuona mjinga anapotembea na pistol ? Itafute hii kitu kisheria tu ,ila uhakikishe hakuna mtu anajua kama unamiliki wala hutakiwi kuionyesha onyesha ,ila kama mtajifanya mko imara na magwanda yenu ya mgambo mtachukuliwa kama senene.

 
Hii mbona kama inataka kuchafua taswila nzuri ya nchi yetu,au kuna watu wanataka kumuharibia Rais ...siamini haya kama anabariki mh Rais wetu.
 
Huyo Mdude na wengine ndio wanafanya serikali iwajibike na wewe na watoto wako muone walau kuna mambo serikali inafanya.
 
Hana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…