Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Nasikia na CCM mnauana, jiwe alipewa sumu nasikiaSlaa kishasema mna tabia ya kutekana. nashauri dj akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia na CCM mnauana, jiwe alipewa sumu nasikiaSlaa kishasema mna tabia ya kutekana. nashauri dj akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani
Kuna namna ya kudai haki na ikapata kusikilizwa...ukitukana kila mtu na kumdharau, nani sasa atakusaidia?
Si aende mahakamani!
Hamjawahi kushinda kesi zenu Mahakamani?Utawala bora upo mahakamani ? Na pia je mahakama zetu zina uhuru wa kuamua mambo bila kuingiliwa au kupokea amri toka ngazi za juu au wakubwa ?
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.
..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.
..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.
Kuna namna ya kudai haki na ikapata kusikilizwa...ukitukana kila mtu na kumdharau, nani sasa atakusaidia?
Kuna tatizo kubwa, taasisi husika zimeingia ganzi miguuni
29 April 2022
Bunge la Bajeti
Dodoma, Tanzania
MBUNGE AIBUA HOJA KUWA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA TANZANIA NI TUME-MFU, IMEGOMA KUFUATILIA MATUKIO YA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU?
mbunge atoa mifano hai jinsi chombo hiki kilivyotelekezwa na serikali kikibaki ombaomba kusubiri fedha za wafadhili wa nje ili kiweze kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binaadamu na utawala bora nchini mwetu unafuatiliwa.
Raia wanatekwa na kuachiliwa mfano Mo Dewji, Roma Mkatoliki kwa kuwataja kwa uchache, Tundu Lissu kushambuliwa pia mauaji kule Mtwara na Tanga lakini hatujasikia Tume ikikemee wahusika wasiojulikana au kuzitaka na kuzisaidia taasisi na idara husika au maofisa kutoa taarifa nini wamefanya kuwafahamu watu wasiojulikana na pia kusaidia mfumo wa Jinai Haki (Criminal Justice System) kuweza kuwezeshwa kifedha, rasilimaliwatu na utashi haki itendeke.
Mbunge anasema kwa hali ilivyo ni kuwa Tume hiyo inafufuka tu wakati wa kusomwa bajeti ya wizara mama ya Katiba na Sheria lakini baada ya hapo inarudi kusinzia bila kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binadamu na utawala bora nchi unaimarishwa kwa vitendo, kwa kukemea, kuelimisha na kufuatilia kisha kutoa majibu kwa uwazi kwa umma wa waTanzania ili imani irudi kuwa haki za binadamu na utawala bora upo nchini.
Hivi hawa wabunge 2015-2020 walikuwa wapi? Wanafiki wakubwaKuna tatizo kubwa, taasisi husika zimeingia ganzi miguuni
29 April 2022
Bunge la Bajeti
Dodoma, Tanzania
MBUNGE AIBUA HOJA KUWA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA TANZANIA NI TUME-MFU, IMEGOMA KUFUATILIA MATUKIO YA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU?
mbunge atoa mifano hai jinsi chombo hiki kilivyotelekezwa na serikali kikibaki ombaomba kusubiri fedha za wafadhili wa nje ili kiweze kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binaadamu na utawala bora nchini mwetu unafuatiliwa.
Raia wanatekwa na kuachiliwa mfano Mo Dewji, Roma Mkatoliki kwa kuwataja kwa uchache, Tundu Lissu kushambuliwa pia mauaji kule Mtwara na Tanga lakini hatujasikia Tume ikikemee wahusika wasiojulikana au kuzitaka na kuzisaidia taasisi na idara husika au maofisa kutoa taarifa nini wamefanya kuwafahamu watu wasiojulikana na pia kusaidia mfumo wa Jinai Haki (Criminal Justice System) kuweza kuwezeshwa kifedha, rasilimaliwatu na utashi haki itendeke.
Mbunge anasema kwa hali ilivyo ni kuwa Tume hiyo inafufuka tu wakati wa kusomwa bajeti ya wizara mama ya Katiba na Sheria lakini baada ya hapo inarudi kusinzia bila kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binadamu na utawala bora nchi unaimarishwa kwa vitendo, kwa kukemea, kuelimisha na kufuatilia kisha kutoa majibu kwa uwazi kwa umma wa waTanzania ili imani irudi kuwa haki za binadamu na utawala bora upo nchini.
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.
..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.
..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.
Aende mahakamani,ushahidi upo ITV,RPC Maiko Kamhamda,alipo itangazia Dunia kuwa Mdude amekamatwa na madawa ya kulevya.
Sawa Niki wa Pili, hutaki kazi . Kwani u_DC sio kazi!? Au ndio umejiajiri hapo!?Slaa kishasema mna tabia ya kutekana. nashauri dj akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani
Kauli ya huyo ex wa Mushumbusi bila ushahidi ni porojo tu kama porojo zingine, aende akatoe taarifa polisi wafanye uchunguzi in fact polisi wanapaswa kumlazimisha 'awasaidie' kwa facts za matukio anayoyafahamu pia awaeleze kwa nini kipindi chote hayo yakitokea alikuwa kimya.Slaa kishasema mna tabia ya kutekana. nashauri dj akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.
..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.
..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.
Hakuna mamlaka za uchunguzi nchi hii?Hivi kumbe sheria zinakuwa zikitekelezwa kibaguzi na vyombo husika?Slaa kishasema mna tabia ya kutekana. nashauri dj akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani