Mdude Nyagali atendewe haki. Amewatambua watu waliomteka na kumtesa. Pia ametaja mpaka maeneo alipopelekwa kuteswa

Mdude Nyagali atendewe haki. Amewatambua watu waliomteka na kumtesa. Pia ametaja mpaka maeneo alipopelekwa kuteswa

Mfumo mzima wa Haki Jinai ( Criminal Justice System) Tanzania unabidi uwezeshwe kwa kupatiwa rasilimali watu, rasilimali fedha, utashi wa kutenda haki, kusikiliza wananchi malalamiko yao, kutoa elimu na Tume kuwa wazi kwa kuhojiwa wamefanya nini, changamoto ni zipi na nini wakipata basi watafanya kazi kwa weledi zaidi na kutoa ushauri wa wazi kwa wadau wote.

Ikiwa tume ikifanya kazi zaidi na mhimili wa executive / fola unaowaajiri bila Tume kuwatumikia wananchi basi haki itakuwa inatiliwa mashaka kama ipo. Tume inabidi iwe inatoa ripoti juu ya mafanikio, changamoto, vikwazo kama ilivyo ofisi ya CAG Mkaguzi wa Mahesabu wa Serikali ili tujue taasisi, idara, wizara, mkoa, wilaya zipi zimetimiza majukumu yake katika suala zima la Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini.

Utawala bora upo mahakamani ? Na pia je mahakama zetu zina uhuru wa kuamua mambo bila kuingiliwa au kupokea amri toka ngazi za juu au wakubwa ?
Hamjawahi kushinda kesi zenu Mahakamani?

Au inakuwa huru mkishinda, mkishindwa inapewa amri!

Upinzani uchwara.
 
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.

..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.

..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.

Dah inaumiza sana
 
Kuna tatizo kubwa, taasisi husika zimeingia ganzi miguuni

29 April 2022
Bunge la Bajeti
Dodoma, Tanzania

MBUNGE AIBUA HOJA KUWA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA TANZANIA NI TUME-MFU, IMEGOMA KUFUATILIA MATUKIO YA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU?

mbunge atoa mifano hai jinsi chombo hiki kilivyotelekezwa na serikali kikibaki ombaomba kusubiri fedha za wafadhili wa nje ili kiweze kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binaadamu na utawala bora nchini mwetu unafuatiliwa.

Raia wanatekwa na kuachiliwa mfano Mo Dewji, Roma Mkatoliki kwa kuwataja kwa uchache, Tundu Lissu kushambuliwa pia mauaji kule Mtwara na Tanga lakini hatujasikia Tume ikikemee wahusika wasiojulikana au kuzitaka na kuzisaidia taasisi na idara husika au maofisa kutoa taarifa nini wamefanya kuwafahamu watu wasiojulikana na pia kusaidia mfumo wa Jinai Haki (Criminal Justice System) kuweza kuwezeshwa kifedha, rasilimaliwatu na utashi haki itendeke.

Mbunge anasema kwa hali ilivyo ni kuwa Tume hiyo inafufuka tu wakati wa kusomwa bajeti ya wizara mama ya Katiba na Sheria lakini baada ya hapo inarudi kusinzia bila kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binadamu na utawala bora nchi unaimarishwa kwa vitendo, kwa kukemea, kuelimisha na kufuatilia kisha kutoa majibu kwa uwazi kwa umma wa waTanzania ili imani irudi kuwa haki za binadamu na utawala bora upo nchini.

Hao watu walioko kwenye hiyo tume ni akina nani.
Tuanzie hapo. Haya mambo ya kuwa tunalalamikia watu bila ya kuwataja wajulikane bayana ni sehemu ya kutofanya lolote la msaada.

Hawa walioko kwenye tume ni wazi kuwa ni sehemu ya tatizo lenyewe. Hawana msaada wowote. Ya nini basi kuendelea kuwepo kwa tume kama hiyo?

Kutowataja tukawajuwa maana yake ni kwamba watakapotoka hapo, watapelekwa kwenye nafasi nyingine nyeti na kwenda kuendeleza uozo huko kwingine.

Tuweke utaratibu wa kuwa tunawataja hawa watu wanaoshindwa kusimamia majukumu yao, ili wafahamike na jumuia.
 
Kuna tatizo kubwa, taasisi husika zimeingia ganzi miguuni

29 April 2022
Bunge la Bajeti
Dodoma, Tanzania

MBUNGE AIBUA HOJA KUWA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA TANZANIA NI TUME-MFU, IMEGOMA KUFUATILIA MATUKIO YA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU?

mbunge atoa mifano hai jinsi chombo hiki kilivyotelekezwa na serikali kikibaki ombaomba kusubiri fedha za wafadhili wa nje ili kiweze kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binaadamu na utawala bora nchini mwetu unafuatiliwa.

Raia wanatekwa na kuachiliwa mfano Mo Dewji, Roma Mkatoliki kwa kuwataja kwa uchache, Tundu Lissu kushambuliwa pia mauaji kule Mtwara na Tanga lakini hatujasikia Tume ikikemee wahusika wasiojulikana au kuzitaka na kuzisaidia taasisi na idara husika au maofisa kutoa taarifa nini wamefanya kuwafahamu watu wasiojulikana na pia kusaidia mfumo wa Jinai Haki (Criminal Justice System) kuweza kuwezeshwa kifedha, rasilimaliwatu na utashi haki itendeke.

Mbunge anasema kwa hali ilivyo ni kuwa Tume hiyo inafufuka tu wakati wa kusomwa bajeti ya wizara mama ya Katiba na Sheria lakini baada ya hapo inarudi kusinzia bila kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binadamu na utawala bora nchi unaimarishwa kwa vitendo, kwa kukemea, kuelimisha na kufuatilia kisha kutoa majibu kwa uwazi kwa umma wa waTanzania ili imani irudi kuwa haki za binadamu na utawala bora upo nchini.
Hivi hawa wabunge 2015-2020 walikuwa wapi? Wanafiki wakubwa
 
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.

..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.

..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.

Aende mahakamani,ushahidi upo ITV,RPC Maiko Kamhamda,alipo itangazia Dunia kuwa Mdude amekamatwa na madawa ya kulevya.
 
Aende mahakamani,ushahidi upo ITV,RPC Maiko Kamhamda,alipo itangazia Dunia kuwa Mdude amekamatwa na madawa ya kulevya.

..mimi nadhani Mdude ametimiza wajibu wake.

..kuanzia hapa wajitokeze WANASHERIA wa kumpa " sapota " ktk hatua zinazofuatia iwe kwenda mahakamani, au kushinikiza suala lake liundiwe Tume Huru ya Uchunguzi.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Slaa kishasema mna tabia ya kutekana. nashauri dj akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani
Sawa Niki wa Pili, hutaki kazi . Kwani u_DC sio kazi!? Au ndio umejiajiri hapo!?
 
Daah pole yake. Angalau ange ambulia hiyo 5M akumbuke wenzake 2015 walishabadili gia angani ambayo matokeo yake ndio hayo. Bahati mbaya anausongo kutokana na kadhia aliyokutana nayo ila busara zero. Ajiulize kwanza kwa nini viongozi wake wa kitaifa walibadili gia angani? Yeye alinufaika chochote au alishia kupata mateso.

Kuna wakati nilishauri TL/cdm wanzishe mfuko wa hizani kusaidia walioumia sababu ya maamuzi ya chama chao. Huyu Mtanzania asadiwe apate uchunguzi wa afya ya akili kwa sababu naona aliyokutana nayo yamemuachia tatizo la kisaikologia.
 
Slaa kishasema mna tabia ya kutekana. nashauri dj akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani
Kauli ya huyo ex wa Mushumbusi bila ushahidi ni porojo tu kama porojo zingine, aende akatoe taarifa polisi wafanye uchunguzi in fact polisi wanapaswa kumlazimisha 'awasaidie' kwa facts za matukio anayoyafahamu pia awaeleze kwa nini kipindi chote hayo yakitokea alikuwa kimya.
Pili polisi wafanye uchunguzi wa kina kutokana na maelezo ya Mdude 'Chadema' Nyangali kwani wahusika wametajwa kwa majina.
 
Mdude ni mpumbavu, na kitabu chake kimejaa uchochezi, akamatwe tena. Huwezi kutukana watu hovyo hovyo mitandaoni ubaki salama, kauli yako ya kwamba wembe uliomnyolea JPM ndio mtamnyolea SSH imemlaza mwenyekiti wenu rumande. Ngoja maria akudanganye,mama wa Maria ni wakala wa CIA
 
Huyu dogo hajielewi ana matusi mno. Huyu akipewa uongozi atanyanyasa watu
 
H
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.

..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.

..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.

Huyu magufuli huyu ndio anasemwa ni kiongozi wa malaika?
Ndiye walimwita' rais wetu mpendwa'? Kipenzi cha waTanzania?
Shujaa wa Africa ndiye huyu?
Mjinga mwingine akasema ni mtakatifu!
Alaaniwe yeye na kizazi chake wenye roho kama hiyo.
Na huyu atasababisha watu wengi wasiingie ktk ufalme wa Mungu maana si rahisi waliopitia mateso hayo kama Mdude kumsamehe.
 
Slaa kishasema mna tabia ya kutekana. nashauri dj akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani
Hakuna mamlaka za uchunguzi nchi hii?Hivi kumbe sheria zinakuwa zikitekelezwa kibaguzi na vyombo husika?
Tuache upotoshaji,huyo Mh.Mbowe ni mhalifu?Naona anazo instruments kuliko serikali kiasi kwamba tumebaki kumtuhumu mitandaoni.
Are we serious!
 
Back
Top Bottom